jopo la michezo clouds,hongereni kwa kazi ngumumlofanya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jopo la michezo clouds,hongereni kwa kazi ngumumlofanya!

Discussion in 'Sports' started by yahoo, Mar 14, 2012.

 1. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  Napenda kuwapa pongezi watangazaji wa michezo wa clouds katika kwa jinsi mnavofanya kaziyenu ya uandishi kwa masrahi na maendeleo ya timu yetu ya simba sc.nawataja kama iftavyo:
  ibrahim masoud (shabk na mwanachama wa simba)
  shaffi dauda (shabiki na mwanachama wa simba,yeye ndo alimleta emanuel okwi)
  ibrahim maestro( mwanachama na kiongozi wa simba)
  geofray leah (shabiki wa kutupwa wa simba )
  ibrahim masoud (mwanachama wa simba)
  alex lwambano (shabk wa kutupwa simba)
  Ibrahim masoud (simba damu)
  ibrahim mohamed( shabiki wa yanga,nawaomba mmuondoe hapo kwenye jopo lenu)
  ****nafurahi sana mnavodili na simba badla ya kazi yenu ya uhandishi, mkaona haitoshi mkaamua kuunda wazo la kuanzisha kipindi kinachoihusu simba na mkalipeleka wazo hilo kwa viongozi wa simba na hatimaye mkaanzisha simba tv (kwa mujibu wa rage) napenda sana jinsi mnavo abuse taaruma yenu.
  *****kazikubwa mlonnifurahisha zaid ni pale mlivokua mnashadadia swala la vurugu za yanga utafkr nyie ndo tff,mlikuwa mnatumia vyombo vyenu kupiga kampeni za kufungiwa wachezaji wa yaga wengi kadri iwezekanavo,ili hata kama kuna ambaye hajafanya vurugu nae afungiwe,ili timuyetu ya simba ipatte ubingwa kiulainiiiiiii yasitukee kama ya msimu ulopita.
  *****nilkua nawafatilia tangu siku ya tukio la vurugu za yanga jmosi saa3 usiku,watngazji wakiwa ibrahm masoud na geofray leah,walionekana dhahr kua na kapeni fulani na yanga mlikua mnatoa conclusions nakuwasemea wachezaji na refa utafkir mlikua myoyoni mwao.research yangu ilikamilika kwenye sports bar j3.jinsi shaffi alivokua anapigana na picha zao za video,huku akiongea kwa jazba pale alipokua akiulizwa maswali magumu namtanagzaji mwenzie kuhsu kinachoonekana kwenye video.
  ***tff wameskia kilochenu ndo mana nyie ndo wa1kupewa taarifa za kufungiwa wachezeji tna usiku,utafkiri hakuna vituo vngine vya habar.ni wazi alotakiwa kfungiwa ni mwasika nawengine hawkustahili adhub kabsaa,lakin kwa juhudi zetu wanasimba tumefanikiwa kuwafungia.bila shaka mmeamua kufanya simba THT yenu.
   
 2. k

  kasenene JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 6, 2008
  Messages: 715
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 80
  Wewue Huna hoja kama ckosei utakuwa mwanaCCM kwani mimi naouna unachangia ***** mtupu...nanai ambaye hakuona upuuzi waloufanya wachezaji wa YANGA na hii imedhihilisha tatizo la kukulia mtaani na kucheza ligi ya ndondo kabla ya kupanda ligi kuu ndo tabia za wachezaji wa yanga na shukuruni TFF wamejaa Yanga Kuanzia Rais wa TFF hata Rais Wa Nchi lasivyo adhabu sahii ilikuwa ni Kufungiwa kucheza maisha MWASIKA ikiwa ni pamoja na kumfungulia kesi ya kupigana kwani hili haliitaji wakili anapaswa kushatakiwa automatic na Jamhuri na kuwa ushahidi wa CAmera za ITV anafungwa moja kwa moja bila kuarisha ksesi, arafu wacheji wa yanga walomfuata mwamuzi tofauti na Captain wote wangepigwa miezi sita, arafu clabu kwa kuonyesha dharua badala ya kuomba msamaha kama alivyoonyesha prof.wao yule mnyarwanda wakaishia kuilaumu TFF ilo ni kosa la kukatwa Mil.100.
   
 3. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  mbona unajazba sana,ngoja nitoke nje ya mada. nakubaliana na azabu ya mwaska but kuna uhalli gani tegete kufungiwa miezi6 kwa kuingia uwanjani tu kuwatuliza wenzie.na je mbona refa alitoka nje ya uwanja kabla mechi haijaisha kitu ambacho ni kinyume na sheria na hakuadhibiwa? Na kwanini hakumpa red card yule polisi aliyeingia uwanjani kinyume na shoria.
   
 4. F

  Fraddle b JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  nimekuelewa sana ndugu yangu,hawa watangazaji wanapenda kuonyesha interest zao,halafu wote wanapenda simba+wanachama wa simba wanadanganya wananchi kuna simba tv wakati ni kipind kipo cloudz tv shame on them
   
 5. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160

  Kwa kifupi hujaeleweka kabisaaaaaaaaaa!
   
 6. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  Wito kwa wanajangwani wote kuisusia redio yao na tv hasa huyo puga maestro na dauda wana card za simba na azam juzi tu tumewapa prime time udhamini wa mechi ya zamalek leo mnaona mabwabwa wanavyoshadidia wachezaji wetu wafungiwe
   
 7. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  kama wewe ni great thinker hauhitaji mwalimu wa kkufundisha na nakukuelekeza kwamba lile jopo ni tawi la Simba.na kama ulifatilia matangazo yao tangu siku ya tukio la mechi ya Azam utagundua kitu! na inaelekea wameamua Simba iwe THT yao!
   
 8. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Simba oyeeeeeee, wacha ipendelewe, ina mvuto!
   
 9. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  haswaa! sunzu ndo anamvuto zaidi kwa jinsi alivojichubua!
   
Loading...