Joomla template problem!!!!!please

MtuMmoja

Member
Aug 30, 2011
77
13
Wakubwa kwa mwenye kujua hii error tunaondoaje naomba anisaidie!ni hivi:
Nimejaribu kuestablish categories pamoja na Articles zake kisha nikacreate link katika main menu hizi article.Baada ya kuweka article ya pili nikakosea kwenye kuchagua single article,kilichotokea ni kwamba katika visitor's site article nyingine zote ziko fresh ila niki click hii articla niyokosea inaleta error hii hapa!
Nataka hiyo Born 2 Hustle itoke mana nikiiclick inaleta hii display screen!!!

Capture.JPG
Naomba kwa anayejua,aliyewahi kufanya hii ishu anisaidie,please!!!!!!!!!!!!!!
 

Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    21.2 KB · Views: 35
Uweezkano mkubwa installation ya joomla uliyofanya hakikuwa kamili na ilimiss baadhi ya files au files ziko katika location tata
 
unatumia version ipi ya joomla na ya xampp hz version mpya za xampp na wamp znaleta shida kdg na joomla 1.5 kwa kudisplay notices na warnings.
 
Angalia link za component ulizoweka kwenye hiyo menu, inaonekana umeidirrect kwenye com ambayo kama vile haipo au haujai enable au haujailink inavyotakiwa.
 
Angalia link za component ulizoweka kwenye hiyo menu, inaonekana umeidirrect kwenye com ambayo kama vile haipo au haujai enable au haujailink inavyotakiwa.

Tatizo hapo naona kama alivyosema mkuu hapa haujailink hiyo ndio maana inafanya hivyo,cha kufanya click hiyo link then ita jilick automaticaly,
 
Nimeweza kuiondoa wakubwa!!!nimei link hii article kwenye home!!!!kisha nikai unpublish!!ikaondoka kabisa!!!!!thanks for ya help!!!!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom