Joomla 1.5 Opportunities

MwanaHaki

R I P
Oct 17, 2006
2,401
705
Waheshimiwa,

Asalaam aleykum wa rahmatullah taalah wabarakatuh!

Nikiwa kama ICT entrepreneur, nimeona kwmaba kuna opportunities nyingi za web development na content management kwa kutumia Joomla 1.5, ambayo ni Content Management System.

Joomla 1.5 ni system nzuri sana, ambayo hata Moderators wa Jambo Forums wanaitumia ku-manage hii site.

Kama kuna mtu ambaye yuko Tanzania, au hata nje ya Tanzania, ambaye yuko interested kufanya kazi za web development na content management kwa kutumia Joomla, awasiliane nami kwa PM, anipe contact zake, nitawasiliana naye.

Hapa nilipo nina two major contracts, lakini sina watu wa kufanya nao kazi.

Wabillah Tawfiq,

./Mwana wa Haki
 
MwanaHaki, samahani....nakuomba utoe description zaidi ya hiyo/hizo kazi na criteria za kuweza kuzifanya.

Ahsante.

SteveD.
 
Steve D

Swali lako ni pana mno... hujawa 'specific'...

Unataka nini zaidi ya keywords kama 'web design/development' na 'content management'?

./Mwana wa Haki
 
Steve D

Swali lako ni pana mno... hujawa 'specific'...

Unataka nini zaidi ya keywords kama 'web design/development' na 'content management'?

./Mwana wa Haki

Sawa MwanaHaki, miye nimekuelewa, hapo niliuliza kwa manufaa ya wengi kama ungeweza kutoa maelezo zaidi ya mazingira ya kazi (mithili ya matangazo ya kawaida ya kazi) ili watu wasihangaike na ku pm kama hawakidhi malengo au matakwa. Maana ulisema tu kuwa mtu kama yuko 'interested', hukuelezea mtu anatatakiwa ajue nini kabla ili kufanya kazi ya hizo contracts bali umesema akiwa interested. Na kwa maelezo hayo mimi nadhani unamaanisha mtu anaweza kujifunza akiwa kazini na siyo lazima awe anajua CMS, web dev au web design kabla ya kujiunga na project hizo.

Hata hivyo nami nitaku PM, niko interested katika hili maana ulishasema hapo mwanzo kuwa mtu akuandikie PM kwa maelezo zaidi. Naelewa umuhimu wa kutafuta kabla ya kutafutiwa. Ahsante.

SteveD.
 
MwanaHaki, samahani....nakuomba utoe description zaidi ya hiyo/hizo kazi na criteria za kuweza kuzifanya.

Ahsante.

SteveD.

Ngosha mwanawane, mbona unakuwa kama sio ngosha wa ugali? Ukienda shambani unauliza jembe likoje au majaluba yako mlimani?

_1910692_ricescif300.jpg

Au kwa tambarareee?

071014202450.jpgWe omba kazi, mgongo ukiuuma na miguu,

agriculture-0d3u9717.jpg

mama nyamilama atakusaidia.

foot_massage_andrew_woodburn.jpg
 
mimi nipo Web Designer...
Nina design websites kwenye Joomla 1.5 php...
Kama upo interested...let me know !
 
I am interested sir.
I have used Joomla platform since I started designing websites in 2006 after graduating, The current site I have developed is http://www.himatourstz.com which I have also optimized in the search engine managing to have it amont the top 100 site visited in Tanzania. My cell phone number is 0783061723 and I live in Arusha.
I hope to hear from you.
 
Salama Kaka

Mi ni mjasiriamali mtaalam kabisa na mwenye uwezo wa kukamilisha kazi yako in a professional manner

Nione hapa:- www.khecon.net

Services offerd by Khecon.Net

Web Designing and maintaining solutions at cheap costs
Web hosting solutions with a 99.999% uptime guarantee
Domain registration solutions at cheap costs
Domain hosting solutions at cheap costs
Designing, Implementation & maintaining Networks
Providing PC management solutions for Companies
DataBase designing and Implementing
Logo Designing
Data Recovery solutions
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom