Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

Great ideas without executions is WORTHLESS.

Kabisaaaa mkuu

Watu tunapenda kukosoa sana lakini in real sense utafanya mahojiano ya aina gani yaonekane mapya. Zote ni conversations tu cha msingu ni delivery

Kwanza media za bongo hadi watangazaji wengi ni copy cats na si kitu kibaya
 
Ndio maana ni kasema tofauti location saloon utanyolewa,Bar utapewa vinywaji na kucheza game kama pool,lkn content ile ile una mwita msanii una muhoji na kupiga nae story.

Sawa na mimi ni andae kipindi Hotelini,wageni watakula na kunywa lkn content ni ile ile ya kuwahoji na kupiga nao story.

Yaani Sheikh ni yule yule tofauti kanzu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani ulikuwa unatumia njia gani kumsikia?
Kipindi yupo wasafi alikuwa anatrend Sana kwenye social media tofauti na sasa Kama binafsi naona jonijo na bdozen walikosea kuama kwenda efm wamerudi nyuma badala ya kwenda mbele.
 
Kipindi yupo wasafi alikuwa anatrend Sana kwenye social media tofauti na sasa Kama binafsi naona jonijo na bdozen walikosea kuama kwenda efm wamerudi nyuma badala ya kwenda mbele.
ni vema kuheshimu maamuzi ya mtu, lakini kuna wakati ukitanguliza maslahi mbele utajikuta unaua career yako, J e Lil Ommy aliekuwa ana trend Times fm ndio Lil Ommy huyu ambae yuko Wasafi kwa sasa..?, je pick yake bado iko pale au imeshuka..?
TUWAPE MUDA
 
ni vema kuheshimu maamuzi ya mtu, lakini kuna wakati ukitanguliza maslahi mbele utajikuta unaua career yako, J e Lil Ommy aliekuwa ana trend Times fm ndio Lil Ommy huyu ambae yuko Wasafi kwa sasa..?, je pick yake bado iko pale au imeshuka..?
TUWAPE MUDA
Lily ommy anafanya vizuri tofauti na jonijo na bdozen we siumeona kaisimamisha vizuri big Sunday live angalia pia kampeni aliyoleta ya shinda na alteza ilivyofanya vizuri pale Wasafi.Narudia Tena bdozen na jonijo wamepotea njia thamani zao zimeshuka walikurupuka kuama.
 
Aje na idea ya kuwafuata wasanii majumbani kwao.

Anafika anawahoji wasanii husika wakiwa makwao huku anawasaidia kazi ndogo ndogo(kama kufagia ndani, Kusafisha Garden, kuosha vyombo n.k)

Hebu assume Jonijo anamuhoji Platnumz huku anasafisha fridge za Plutnumz pale Madale
Hata hii ya kuwafata nyumban ilishafanyika kweny magazeti
 
Wengi wa wapenda vipindi vya Tv na Redio hususani Burudani jina hili sio geni, Baada ya Kutoka Times fm alisajiliwa Wasafi Media na baadae kutimkia E FM/E-TV.

Jamaa hajafanya sana program za redioni kama upande wa TV. Yes, wengi walimfahamu kwenye "Now you Know" kupitia YouTube account yake.

Alipofika EFM alifanya kipindi cha HOMA akichukua nafasi ya Meneja Sebbo. Sasa Jonijo anakuja na Kipindi kinaitwa GEREZANI. Hii imejidhihirisha kwenye teaser aliyoweka kwenye ukurasa wake wa Instagram, akizungumza na msanii HEMED PHD, huku kavalia nguo zinazofanana na za Mfungwa ambae yuko chini ya Ulinzi ila katembelewa na mgeni, Good Idea!

Idea ya mazingira haiendani na kipindi chake cha awali THE BAR TENDER. Je, uhalisia wa maswali utaendana na kipindi hiko cha awali? Teaser iko mtandaoni tayari siku na saa.

Lets wait and see, Creativity is the Key. Kama ulimmisi kwa vipindi vya namna hio sasa anarejea.

Tchaooooo. its Mayowela


Bonge la idea
 
Back
Top Bottom