joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 15,148
- 31,721
Maudhui yake bado yale yale ya Mkasi,ila tofauti yake kile kipindi wanazungumza story nyingi za zamani huku current issues wakizingumzia kidogo.Kipindi cha Salama Jabir kinaitwa SALAMA NA.
Yaani Salama na Guest anayekuwa nae siku hiyo.