Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,124
1,744
Wengi wa wapenda vipindi vya Tv na Redio hususani Burudani jina hili sio geni, Baada ya Kutoka Times fm alisajiliwa Wasafi Media na baadae kutimkia E FM/E-TV.

Jamaa hajafanya sana program za redioni kama upande wa TV. Yes, wengi walimfahamu kwenye "Now you Know" kupitia YouTube account yake.

Alipofika EFM alifanya kipindi cha HOMA akichukua nafasi ya Meneja Sebbo. Sasa Jonijo anakuja na Kipindi kinaitwa GEREZANI. Hii imejidhihirisha kwenye teaser aliyoweka kwenye ukurasa wake wa Instagram, akizungumza na msanii HEMED PHD, huku kavalia nguo zinazofanana na za Mfungwa ambae yuko chini ya Ulinzi ila katembelewa na mgeni, Good Idea!

Idea ya mazingira haiendani na kipindi chake cha awali THE BAR TENDER. Je, uhalisia wa maswali utaendana na kipindi hiko cha awali? Teaser iko mtandaoni tayari siku na saa.

Lets wait and see, Creativity is the Key. Kama ulimmisi kwa vipindi vya namna hio sasa anarejea.

Tchaooooo. its Mayowela

Kwenye Mkasi, lini muhojiwa na muhoji walicheza games,kunywa kinywaji,
Ndio maana ni kasema tofauti location saloon utanyolewa, Bar utapewa vinywaji na kucheza game kama pool, lakini content ile ile unamwita msanii una muhoji na kupiga naye story.

Sawa na mimi ni andae kipindi Hotelini, wageni watakula na kunywa lakini content ni ile ile ya kuwahoji na kupiga nao story.

Yaani Sheikh ni yule yule tofauti kanzu.
 
Ndio maana ni kasema tofauti location saloon utanyolewa,Bar utapewa vinywaji na kucheza game kama pool,lkn content ile ile una mwita msanii una muhoji na kupiga nae story.

Sawa na mimi ni andae kipindi Hotelini,wageni watakula na kunywa lkn content ni ile ile ya kuwahoji na kupiga nao story.

Duuh 🤔
 
Same to Salama Na.., si ndio..?
 
Kwenye Mkasi, lini muhojiwa na muhoji walicheza games,kunywa kinywaji,

Mayowela tulia wakali wa hizi kazi tukupe mambo yanavyokua, hakuna idea mpya now zote ni marudio tu,kama haipo bongo basi ipo kwa wenzetu cha muhimu ni kuboresha tu.

Nakutana na ideas kibao kali lakini ukizisoma na kuzichanganua unajua kuwa ni idea ambayo ipo ila imeboreshwa kuficha mapungufu ya ambayo ipo.

Hata hiyo gerezani unayosema japokuwa sijapata nafasi ya kutazama, ni idea nyepesi sana kwa sisi tunaokutana na ideas nyingi, ila kwa mtu asiye wa entertainment na mambo ya media yeye yupo kama mshabiki tu lazima aone ni kitu kikali na kipya sana.

Kwa sasa ni hayo tu.
 
Ndio maana ni kasema tofauti location saloon utanyolewa,Bar utapewa vinywaji na kucheza game kama pool,lkn content ile ile una mwita msanii una muhoji na kupiga nae story.

Sawa na mimi ni andae kipindi Hotelini, wageni watakula na kunywa lakini content ni ile ile ya kuwahoji na kupiga nao story.

Yaani Sheikh ni yule yule tofauti kanzu.
Kwahiyo mnazungumziaje SALAMA NA.
 
Bartender yemyewe ni idea ya Mkasi,tofauti location.
Aje na idea ya kuwafuata wasanii majumbani kwao.

Anafika anawahoji wasanii husika wakiwa makwao huku anawasaidia kazi ndogo ndogo(kama kufagia ndani, Kusafisha Garden, kuosha vyombo n.k)

Hebu assume Jonijo anamuhoji Platnumz huku anasafisha fridge za Plutnumz pale Madale
 
Aje na idea ya kuwafuata wasanii majumbani kwao,

Anafika anawahoji wasanii husika wakiwa makwao huku anawasaidia kazi ndogo ndogo(kama kufagia ndani, Kusafisha Garden, kuosha vyombo n.k)

Hebu assume Jonijo anamuhoji Platnumz huku anasafisha fridge za plutnumz pale Madale
Nzuri .
 
Hahahahaha
 
Mayowela tulia wakali wa hizi kazi tukupe mambo yanavyokua, hakuna idea mpya now zote ni marudio tu,kama haipo bongo basi ipo kwa wenzetu cha muhimu ni kuboresha tu.

Nakutana na ideas kibao kali lakini ukizisoma na kuzichanganua unajua kuwa ni idea ambayo ipo ila imeboreshwa kuficha mapungufu ya ambayo ipo.

Hata hiyo gerezani unayosema japokuwa sijapata nafasi ya kutazama,ni idea nyepesi sana kwa sisi tunaokutana na ideas nyingi,ila kwa mtu asiye wa entertainment na mambo ya media yeye yupo kama mshabiki tu lazima aone ni kitu kikali na kipya sana.

Kwa sasa ni hayo tu.
Nakuelewa masta, nachangamsha Genge, Vitu vingi vimeishafanyika, hata BIG SUNDAY LIVE, ni marudio tu, but kwa kwetu huku na kama hufatilii mambo tunaona ni kitu kipya.

Kudos
 
Back
Top Bottom