Jongwe Crisis: Will AU intervene?

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,526
1,529
If we sent millitary to Comorro, and Ari Mpya of AU is to show the world that Africans are committed to peace and democracy, will AU send special forces as peacekeepers in Zimbabwe since it is a fact known that Zimbwabwe Millitary, Security and Police have pledged allegiance to ZANU and Mugabe?

With the dillema at hand, ZEC slacking to release matokeo, where are Waratibu of AU to provide fair justice? Are we going to let Harare resemble Nairobi/ How soon we forget?
 
After what we went through with Kenya, I hope AU and all the peace loving people of Africa will come out together and be united for people of Zimbabwe.

Poor Africa, who bewitched you?
 
Well i think you need to familiarize yourself with international law. Mugabe's govt is still the rightful sovereign government of Zimbabwe and it would be against international law for the AU or UN to invade Zim.. Comoro waliombwa and there was a just reason. Mugabe is wrong and anatakiwa apewe sanctions.. akizidi.. labda genocide ndio security council itapitisha the resolution yakumpiga nakumtoa. kama miloswvic.. not otherwise.. its not a matter of kujiendea tu.
 
Hii success tuliyoipata baada ya kuwashinda kivita askari 300 wasio na silaha itatupleleka pabaya. Naona kuna baadhi ya watu wanaanza kujiona ni ma super power. Sasa ngoja mkung'utwe ndio mtatulia. Kijijeshi cha Comoro kimefanya jeshiletu liheshimike kiaina though.
 
Kama Au ingekuwa ni chombo serious na kikiendeshwa na watu serious wangekemea mapema kabisa kauli ya wale wanajeshi wa Mugabe (maana kwa kauli yao wale sio wanajeshi wa Taifa la Zimbabwe). Lakini wapi, kwa kuwa wanafanaa, wamejikalia kimya maana wanajua hata wao wakizidiwa kwenye manchi yao wanajeshi wao watafanya hayohayo. At the end of the day you have to painfully and sadly agree with NN kwamba haya maviongozi yetu ndivyo yalivyo (siamini kwamba eti wananchi wa Africa ndivyo tulivyo-haya ni maviongozi tu)!
 
Lakini hayo maviongozi si yanachaguliwa na mananchi au? Oh wait...mengine yanaiba kura. Mfano LiKibaki la Kenya...kwikwikwiiii
 
Well i think you need to familiarize yourself with international law. Mugabe's govt is still the rightful sovereign government of Zimbabwe and it would be against international law for the AU or UN to invade Zim.. Comoro waliombwa and there was a just reason. Mugabe is wrong and anatakiwa apewe sanctions.. akizidi.. labda genocide ndio security council itapitisha the resolution yakumpiga nakumtoa. kama miloswvic.. not otherwise.. its not a matter of kujiendea tu.

Kama ingekuwa Mugabe anaheshimu hiyo international law, angeshakubali kushindwa na kumpongeza mshindi. Mbona amejificha tangu jumamosi hadi leo, anapanga nini? Akubali kushindwa tu, ndio uungwana
 
Kwa hali ilivyo, ninamuona Bob na makosa mawili hapo.

Kwanza ni kutumia nguvu za dolakutoa vitisho,kwamba jeshi halitaacha kuona Morgan anachukua nchi kwa ballots.

Pili, ni kuchelewesha kutangazwa matokeo,ambako naamini kwa makusudikunafanywa na Bob...just the Kibaki way.

AU wangepaswa kukemea kauli ya viongozi wa majeshi (au tuseme wanasubiri ripoti ya waangalizi wao walioko huko?)

Otherwise, katiba ya Zim inataka mshindi wa urais lazima awe na kura zinazoanzia 51 per cent. Morgan amejitangazia kuwa ana 50.3. Kurudia uchaguzi haiepukiki, lakini matokeo ya uchaguzi wa kwanza yako wapi?

Pengine jamii ya kimataifa ingelishikia bango hili, ikiwemo AU, na kamati ya AU ya Mbeki ya usuluhishi (Hivi ripoti yake ilitoka?.
 
Jongwe (jogoo) amekuwa kifaranga hajui hata atendalo.

[media]http://www.youtube.com/watch?v=hyqClwGu_Sk[/media]
 
Where is Mwenyekiti of AU to address this?

Wamempa cheo kikubwa AU, lakini chama chake chenye wanachama wasiofikia hata 10,000 kinamshinda kukithibiti ataiweza Afrika? Ukubwa wa pua si wingi wa kamasi!
 
Jongwe alisham-snob JK live kwenye kikao cha regional heads mpaka JK akaingia line na ku give in to his psychological tactics.

Suala la territorial integrity halipo na AU kuingia ni vigumu (unless talks, and we frankly do not need another talkhouse).

To make matters worse Morgan is ill prepared and advised, indecisive and dishonest.I hope the runoff will provide a clear winner and Zimbabwe will soon be in recovery.
 
If we sent millitary to Comorro, will AU send special forces as peacekeepers in Zimbabwe....
With the dillema at hand....
Ohh yes Rev. its a BIG dillema,We didn't see AU sending what you called 'peacekeepers' in Kenyan Political Crisis and certainly we woun't expect it to do so in Zim.and it leaves us with a BIG question:On what BASIS does AU Millitary Intervation Legitimate??,What are its POWERS when it comes to INTERNAL AFFAIRS SUCH AS GENERAL ELECTIONS??
 
Mnajua wakati wa Crisis ya Kenya, Mwenyekiti wa AU alikuwa kimya mpaka last minutes na tulipoanza kebehi kuwa katumwa na Bush, wakato amaadniko mengi tuu hata kumtaka KIbaki atoe shukrani pekee.

Sasa hivi nimesikia Mbeki ndiye anayeongea, sijasikia tamko la AU kutoka kwa Mwenyekiti wake au tamko la Tanzania hata kupitia Waziri wake wa mambo ya nje!

Unafiki mtupu!
 
Mwenyekiti hawezi kutoa neno bado yuko pangoni anasikilizia upepo unakwenda wapi. Bado, Anatoa kichwa na kurudi pangoni.
 
Mnajua wakati wa Crisis ya Kenya, Mwenyekiti wa AU alikuwa kimya mpaka last minutes na tulipoanza kebehi kuwa katumwa na Bush, wakato amaadniko mengi tuu hata kumtaka KIbaki atoe shukrani pekee.

Sasa hivi nimesikia Mbeki ndiye anayeongea, sijasikia tamko la AU kutoka kwa Mwenyekiti wake au tamko la Tanzania hata kupitia Waziri wake wa mambo ya nje!

Unafiki mtupu!

Mwenyekiti wa AU anasubiria report kutoka kwa observers wa AU kama wamepelekwa.
cover_650x435.jpg

cover_650x435.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom