Jombi, Jambazi aliyetisha wa Kimataifa aliyeishi Tanzania

Shukran ndugu japo kwa ufupi umenifungua kidogo kuhusu tukio hilo
Nilikuwepo eneo la tukio, Komando Sele hakuwa mfanyakazi wa mgodi wa Geita bali alikuwahi kufanya kazi Barick Bulyankulu lakini jambazi aliyekubuhu,si mara moja amewahi kuteka gari la mshahara (maana advance walikuwa wanachukulia dirishani) Siku ya tukio yeye na wenzake kama 8 hivi walipanga kuiba dhahabu yote kabla haijapakiwa kwenye ndege, dhahabu kutoka Gold Room husafirishwa na gari maalum ambalo ni bullet proof likilindwa na askari maalumu wa mgodi,Sele na wenzake walikuwa wametangulia air port na kujificha msituni,mara tu gari la dhahabu lilipofika tayari kupakia dhahabu ndegeni ndipo akina Sele wakaanza kurusha risasi kwa walinzi ambao walifanikiwa kuwakimbiza majambazi wote na akabaki Sele pekee, walinzi wote wa mgodi walijificha akabaki Kaburu mmoja dhidi ya Seli, ilikuwa kama muvi,kwa mara moja Sele na Kaburu walipigana risasi za mwisho, Sele alipigwa kwenye paji la uso wakati Kaburu ilimpata begani na kukimbizwa South Africa ambako alipona, huo ndio ukawa mwisho wa Komando Sele aliyesumbua sehemu mbalimbali za kanda ya Ziwa, inasemekana majambazi wengine walikuwa ni Wanyarwanda
 
Duh! ilikuwa khatari sana Shukran ndugu kwa maelezo ya kina jamaa nasikia alikuwa mtata sana.
 
ingekuwa vyema kutengeneza uzi wako mwingine kumuelezea huyo Chokaa.. mimi binafsi nimemsikia sana Jombi mwanzoni mwa miaka ile ya 90.

achilia mbali TENENDE wa mlima nyoka.. jeshi la mtu mmoja. machale yeye, usugu yeye aliwahi katwakarwa watu wakaamin wameua, baada ya siku chache akaendeleza ubabe.
Tenende alikua anaogopeka sana mbeya
 
Story nyingine chumvi imeongezwa. Kiwambo sauti hakipunguzi sauti ya bunduki kama muvi zinavyotuaminisha huleta tofauti ya decibels 20 au 15.
Yaani mfano bunduki bila silencer ingepiga decibels 140 ikiwa na silencer itapiga 120 bado sauti ya juu kutosha kushtua watu.

Kinachofanywa hasa na silencer ni kutawanya sauti, yaani mfano imepigwa mbali na ulipo unaweza usijue imepigwa upande gani.
Nakuunga mkono,mimi pia nimegundua kua kuna chumvi ndani ya hii story

Ubabe ulitawala hata club kama utaenda na mrembo ilhali wewe huna ubavu

Je ni club ipi ilikuwepo mbeya miaka hiyo ya 80s..?
 
Hakuna jambazi aliyewahi kusumbua nchi kama nyokaa wa Arusha.

Alipigwa risasi 3 Sakina bar Arusha miaka ya 90 mwanzoni tena walimtegea mwanamke akamwekea dawa kwenye pombe.

Ila bado maaskari ilichukua muda mrefu kwenda kuchukua maiti yake kwa kumuogopa wakifikiri yupo hai.

Karate yeye, ubabe yeye, machale yeye.

Ametungiwa wimbo na Watengwa inaitwa "Story ya nyokaa"
Huyo jamaa alikuwa ni hatari na nusu..kipindi hiyo naishi pale sinoni relini!
 
Hakuna jambazi aliyewahi kusumbua nchi kama nyokaa wa Arusha.

Alipigwa risasi 3 Sakina bar Arusha miaka ya 90 mwanzoni tena walimtegea mwanamke akamwekea dawa kwenye pombe.

Ila bado maaskari ilichukua muda mrefu kwenda kuchukua maiti yake kwa kumuogopa wakifikiri yupo hai.

Karate yeye, ubabe yeye, machale yeye.

Ametungiwa wimbo na Watengwa inaitwa "Story ya nyokaa"
Nyokaa alikua nuksi sana sana
 
Jombi alishakufa, kimsingi baadaye akiwa mahabusu kwakuwa alikuwa transporter alikuwa anaidai bodi ya pamba/na Tumbaku pesa ya kutosha ile kesi ilikuja kumalizwa na mwanasheria wa serikali miaka ile alikuwa anaitwa Cresensia Makuru, nadhani sasa ni jaji, baada ya Kamanda Sanya kurejeshwa makao makuu kufuatia kashfa iliyoshikiriwa na watu wa haki za binadamu kutokana na usafishaji alioufanya sanya kwa kuua majambazi waliokamatwa mara kwa mara. So jombi alitoka akachukua malipo yake zaidi ya milion 200 wakati ule akatokomea zake zambia ambako alienda kujipanga, baadaye akarudi na kikosi kipya ambapo hata kabla hajatekeleza operesheni namba 2 alikamatwa na Kamanda Kova akiwa Mbeya na kumtia ndani tena, alipotoka tu akakimbilia zambia tena lakini hakuchukua muda afya yake ikatetereka alikufa!! Nina mkanda wake jinsi alivyokamatwa(story) kuanzia wakiwa eneo la soweto alipotumwa oc cid Kato kumchukua jamaa akagoma hadi kufika kwa Sanya na wakachimbana mikwara kaunta ya polisi------
Tupe story mkuu ilikuwaje
 
Sele alivamia mara ya kwanza aliteka gari likipeleka pesa mgodini akatoroka nchi siku ya uzinduzi wa uwanja wa taifa alikamatwa pale na polisi mgodi ukanfungulia kesi akashinda ni story ndefu sana ila mama yake ndiyo alikuwa mchawi balaa
Mkuu fungua uzi wake aisee
 
Jombi baada ya kutoka jela na baada ya kulipwa pesa alokuwa anadai pia mwishoni wa maisha yake alikuwa anauzia mahindi waasi wa Congo.
 
Dah we jamaa ni muongo hatar asee,yuzo kaamia aeusha nyokaa alisgakufa miaaka kubaoo,jcb hajawah kuwa na usela na nyokaa kabisaa kipindi nyoka anafanya yake jcb mtoto mzur tu wa aeusha sec na chindi nna uwakika ata kumjua nyoka hamjui chindo dogo sanaaaaa,una sound za kiboya wa raiya
 
Akuna jambazi Tanzania hii kama Alex masawe paka leo ajashikwa amesumbua toka hao jombii njokaa wamekufa na wamemuacha yupo tu huyo jombii ni mdogo sana miaka 97paka 2003 kulikuwa na jambazi mmoja alikuwa anaishi pembeni na shule ya weruweru alikuwa anapigwa risasi aipenyi na yupo kifua wazi
Alex massawe hakua jambazi, alikua TAPELI tu.
 
Back
Top Bottom