jokes

waluwalu

Member
Sep 16, 2011
11
0
mzee mmoja aliekuwa pande la baba miraba minne alikua akitaniana na mjukuu wake mambo yakawa hivi: mjukuu: eti babu uliniambia nianze kuesabbuu,; mmoja niongeze neno kablaya mmoja ambalo ni mtu na mbele ya neno moja kuwe na neno wewe unapata sentesi MTU MMOJA WEWE NA je nikianza kuesabu kuanzia mbili litakua MTUMBILI WEWE ni kweli? duu babu hakujibu ila bibi alikua anacheka mbaya,tena mjukuu akamwambia babu yake nikisema moja nepa shauri ya mavi,wewe jibu,mbili nepa, shauri ya mavi ,tatu nepa........... kabla hawajafika hata tisa nikamuona babu anakifukuza kijukuu na kudai hakina adabu hata kidogoo
 
Moja wazi tanzania,mbili wazi tanzania,tatu wazi tanzania,nne wazi tanzania,tano wazi tanzania,_______wazi tanzania(jaza nafasi iliyoachwa wazi)
 
Mda mnaotumia kufikiria huu ujinga mngefikiria kwa jambo la maana umasikini TZ tungekua tunaupa kisogo
 
Mda mnaotumia kufikiria huu ujinga mngefikiria kwa jambo la maana umasikini TZ tungekua tunaupa kisogo
Muda unaotumia kupitia jf jokes ungeutumia kufikiria mambo kwa kutumia masaburi yako ungejenga ghorofa tatu masaki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom