Joke of the day

Hahahahha ahivi kwanini Condom hazijapandishwa bei? Au kule hakuna VAT? I think ni source mojawapo ya Income
 
Mwalimu aliingia darasani akauliza, "Kwanini mapenzi yana nguvu kuliko vita?"
MWANAFUNZI akajibu,"kwasababu CONDOM bei nafuu kuliko Bunduki..."
daah! binafsi hizo zana mi nilishindwa kutumia..mimi ni kavu kwa kwenda mbele,lakini ajabu hadi leo nipo hapa nachat na ndugu zangu watakaokuja kutokwa povu kwa ajili ya msimamo wangu wa kuwa mzalendo kwa kuloweka mbichi..
 
Lini umepima kwa mara ya mwisho?
 
always napima,last time ilikuwa mwezi may mwaka huu
Hali yako ya afya ktk hayo majibu ikoje mkuu.... samahani lakini ni kwa faida ya wengi hapa jamvini... najua wewe upo under cover, hatukufahamu!
 
Hali yako ya afya ktk hayo majibu ikoje mkuu.... samahani lakini ni kwa faida ya wengi hapa jamvini... najua wewe upo under cover, hatukufahamu!
ni njema kabisa mkuu,wala usijali uliza tena na tena na tena,and how did u know if am undercover mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom