[Joke?] Matokeo ya Mtihani wa Viongozi February 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

[Joke?] Matokeo ya Mtihani wa Viongozi February 2011

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by akashube, Mar 6, 2011.

 1. akashube

  akashube JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Tangu mwaka 2005 tumekuwa(baadhi yetu) tukifuatilia kwa ukaribu utendaji wa viongozi mbalimbali hapa nchini, pia hotuba zao na namna wanavyojibu matatizo na maswali ya wananchi kwa maneno na vitendo. Huo ndio umekuwa mtihani wao na mpaka 28 Februari 2011 haya ndio matokeo yao kwa kifupi, na endapo utahitaji matokeo yote kwa ujumla wasiliana nasi hapa hapa.

  Position Name Marks

  1. Dr. Wilbrod Slaa 85%
  2. Dr. John Magufuli 74%
  3. Freeman Mbowe 73%
  4. Halima Mdee 71%
  5.5 Samwel Sitta 69%
  5. 5 Philemon Ndesamburo 69%
  5.5 Prof. Haruna Masebu 69%
  5.5 Nimrod Mkono 69%
  .....
  10. Pius Msekwa 65%
  ......

  991. Rostam Aziz 3%
  992. Yusuf Makamba 2%
  993. Sophia Simba 1%
  994. Benard Membe 0%
  .......

  3230. Mizengo Pinda -45%

  ........

  5000. Jakaya Mrisho Kikwete -50%
  END

  Mimi binafsi sitakuwepo kujibu hoja zenu narudi msituni/mafichoni mpaka mwakani. Isipokuwa kuna wenzetu tuliofanya nao 'research' wanayo kopi ya matokeo kamili(report) wapo humu JF watawapatia ikibidi.
   
 2. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hongereni kwa kazi. However, this is the first time i see results wirh -ve %. Ingekuwa 0% hata nisingesema. Hiyo "research tool" yenu ilikuwaje?
   
 3. W

  WEMBE WENGE Senior Member

  #3
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mmhhh hiyo research ni kiboko ina mpaka negative maana yake huyo Mh. exist "or"??, ingawa ni ukweli sana huko juu,Dr. yupo juu!!:rain:
   
 4. U

  Uswe JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Rostam kweli kiboko, hata nyie mmehongeka!
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  naona huyo mwenye -ve anadaiwa marks alikopeshwa. Lol!
  Research nyingi siku hizi.
   
 6. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  hahahahaha.... Hii kali,,, na kweli atakua amewahonga,,, mi naona kama pinda yupo kwenye -45 percent, then huyu jamaa alitakiwa achezee -200 huko... Kweli kawahonga
   
 7. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hata vyuo huwa vina mitihani ya multiple choice ambayo ukikosa unapewa negative mark, kwa hiyo ukikosa maswali mengi total mark huwa inakuwa negative, na wapo ambao walishapata negative marks, kwa hiyo sishangai JK kupata negative, amekosa sana. Waulize waliosoma Muhimbili watakwambia (Mitihani ya Physiology nk)
   
 8. Kionambele

  Kionambele JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kapotolo wewe ni Intelligent. Unajua mtihani unaohusu maisha ya watu kwa mfano 'surgery' mambo ya ku-'guess' ni hatari sana na ndio mtu anapata -ve marks. Mtu mwenye mzaha kwenye mambo ya maslahi ya taifa huyo hata 0% kwake ni kubwa mno.

  Ile mitihani wanayotoa -ve hata kwenye vitengo vya kutegua mabomu ipo na inafanana na uongozi wa Taifa. Ni afadhali usikate waya kutegua bomu kama huna uhakika wa kutosha. Haya matokeo yanaonyesha Kikwete amekata nyaya kwenye mabomu mengi sana na yamelipuka na yameua. Mzaha wake unaiharibu nchi. Kikwete anatuua huku anacheka.
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Mar 6, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hahahaaah! Ilitakiwa achezee kwenye negative %!!
   
Loading...