kimarabucha
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 791
- 621
Wadau japo sio vizuri kuzungumzia mambo binafsi ya mtu lakini ikibidi ni Lazima tuseme.
Jokate Mwegelo ni mmoja Wa viongozi Wa UVCCM. Itapendeza iwapo atajitahidi asiwe anaandikwa kwenye Magazeti ya Udaku.Wote tunajua magazeti hayo habari wanazoandika.
Ni wakati Wa Jokate kama kiongozi kujiepusha na skendo zitakazopelekea kumchafua.
Sent using Jamii Forums mobile app