Jokate wewe ni kiongozi UVCCM, achana na habari na magazeti ya Udaku

kimarabucha

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
791
621
Wadau japo sio vizuri kuzungumzia mambo binafsi ya mtu lakini ikibidi ni Lazima tuseme.

Jokate Mwegelo ni mmoja Wa viongozi Wa UVCCM. Itapendeza iwapo atajitahidi asiwe anaandikwa kwenye Magazeti ya Udaku.Wote tunajua magazeti hayo habari wanazoandika.

Ni wakati Wa Jokate kama kiongozi kujiepusha na skendo zitakazopelekea kumchafua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna rafiki yangu anagombea uenyekiti UVCCM. Moja ya jambo ambalo nimemshauri ni kuwa akiingia pale wale wote walioingizwa kwa rushwa, ngono na Sadifa awatoe mara moja na kisha kuweka vijana wenye akili.

Humu Jf kuna vijana wazuri na wenye akili sana sana tatizo nafasi wanakosa either kwa kuwa hawana pesa au hawana cha kuonga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu demu umjui vizuri Ni zaidi jokate unaemfahamu ameapa kulinda maslahi ya nchi popote pale kwa gharama yoyote until her last cell , huko yuvisisiem yupo tu . Ukumbuke kichwani yupo vizuri.
 
Kama Lizaboni, Jingalao, Ruta, n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mwenyekiti hana skendo ?
Au udaku wanaogopa kumwandika wasijekutumbuliwa !!

love thé love or hâte thé love.....
 
kua uvccm tu ni skendo tosha na kujichafua....
magazetini wanakua wana kamilisha mzunguko.
 
Jasiri haachi asili,ni vigumu sana kumtenganisha huyo bishost na magazeti ya udaku kwa sababu huko ndiko mlikomkuta
 
Kuna rafiki yangu anagombea uenyekiti UVCCM. Moja ya jambo ambalo nimemshauri ni kuwa akiingia pale wale wote walioingizwa kwa rushwa, ngono na Sadifa awatoe mara moja na kisha kuweka vijana wenye akili.

Humu Jf kuna vijana wazuri na wenye akili sana sana tatizo nafasi wanakosa either kwa kuwa hawana pesa au hawana cha kuonga

Sent using Jamii Forums mobile app
atawatoaje watu kiholela tu namna hio,esp km walichaguliwa kwa kura,democracy
 
Siasa kazijua wapi? Kuwa na haiba ya kisiasa ndiyo exposure nzuri katika mvuto na ushawishi
 
Huyu demu umjui vizuri Ni zaidi jokate unaemfahamu ameapa kulinda maslahi ya nchi popote pale kwa gharama yoyote until her last cell , huko yuvisisiem yupo tu . Ukumbuke kichwani yupo vizuri.
Labda aliapa kwa Ali kiba,Diamond na Hashim thabeet
 
Back
Top Bottom