Jokate ndo kasichana katakakonifuta machoz hapo badae panapo majaliwa

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,896
25,941
Niaje masela wangu kama dawa kama kawa nyie ndo watoa max wangu na kasichana kokote kanakonidatisha huwa nakaleta humu ili mkachambue na kunipa macoment na maushauli yenu


Kuna haka kasichana kalikotajwa kwenye jalida la fobers kuwa na kenyewe kamo kamo kwenye wale wenye $ nyingi, mara nyingi huwa nakaona sana st peter siku za jumapili kuna siku moja nilikashika mkono ule mda wa kupeana mkono wa AMANI YA BWANA, aisee asikwambie mtu mwana wane mtoto ana mkono lain hujawahi ona,

Kumbuka kabla ya yote kasichana haka kamezaliwa kule mambele WASHNTON DC USA, ambako saiv anaish mchiz wangu nyan ngabu USA BABY, kasichana haka kwao ni pale masaki geti kali hakana njaa njaa kama wasichana wengine waomba vocha na hela za soda

Ndoto zangu ni kukaweka ndan kawe mke na nami niwe mme usiulize njia nitakazo tumia kukashawishi ili kakubali cha kwanza naibuka kwa paroko moja moja maana nia yangu sio kuchapa na kusepa nia yangu ni kuoa kabisa nazan kwa njia hiyo laxima nitafanikiwa

Nipen max zenu lakin msikakindie washikaji
jokate4-768x1024.jpeg
jokate3.jpeg
jokate3.jpeg
jokate1-1.jpeg
jokate2.jpeg



Kama vp nawe weka kako

Nawasilisha mazee
 
Jokate alishapita usichana.
Alikuwa msichana 2006 alipogombea u miss Tz, we 2017 unamuona bado msichana?
 
we si muda sio mrefu ulikuwa unakataa kutazamwa usoni na warembo
 
Unapoleta watu uwe unatuambia details za kutosha manake wengine hatuwafahamu, ukimpenda mtu bwana! hata akiwa na pengo utasema mwanya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom