MhadzabeWatanzania wengi no kama mapopo!, ...hatueleweki. Kama Angekatwa au kulitwa SoSopi na Msigwa kuangukia pua humu pia kusingekalika. Wangesema amechaguliwa MTU w Kaskazini! na kwamba inamaana hakuna MTU wa asili wa eneo hilo kuwa mwenyekiti wa kanda hiyo mpaka alrtwe mtu wa kaskazini? ( hata kama Sisopi ni mzaliwa wa kanda hiyo)
Kiongozi bora ni yule anayekea influence yake kwa MTU anayeona atakiunganisha na kukipa ushindi zaidi chama na sio tu kwa kuwa anashabikiwa na watu!
Umetazama Kwa jicho pevu,hili ndilo linaloishi zaidi. Ifahamike kuwa chama kinajengwa katika misingi ya kitaifa na hivyo lazima kijengwe sura hiyo.
Wanaolalamika wamekosa ajenda ya kutaka kuonesha kuwa chama Ni cha Kaskazini.
Nitampongeza Mh Mbowe Kwa kupigania kujenga utaifa katika chama. Hekima na busara hujenga misingi ya kudumu katika umoja. Utaifa Kwanza mengine badae