Jokate Mwegelo: CCM haina mwenyewe

Mondoros

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
630
500
Jokate-Mwegelo-Biography.jpg

Jokate Mwegelo

Jana,22/12/2016 katika uchaguzi wa CHADEMA kanda ya Nyasa umenifanya niyakumbuke maneno ya mwanamitindo na Mjasiriamali Nguli Afrika, Jokate Mwegelo alipoulizwa na moja ya vyombo vya habari kuwa anakipenda chama gani cha siasa nchini, Naye akajibu bila woga kuwa anakipenda Chama cha Mapinduzi kwasababu HAKINA MWENYEWE. Wakati anayasema hayo kipindi kile sikumwelewa ila Uchaguzi wa Chadema kanda ya Nyasa uliofanyika Jana ndo ulinipa akili za ziada ya kumwelewa Jokate.

Kwanza nianze kwa kumpa pole za dhati kabisa Makamu wangu Mwenyekiti wa bavicha, bw Patrick Ole Sisopi kwa kufanyiwa ukatili ule na Mwenyekiti Mbowe dakika chache kabla ya kupiga kura.Ingawa mimi hili halikunishangaza kutokana na uhodari wa Mbowe wa kubadilisha Gia angani kwa kubadili(binafsi) maamuzi ya Halmashauri kuu ya chama chetu;

· Ikumbukwe Agosti,2015 Mbowe alibadili maamuzi ya Halmashauri kuu ya chama ya februari na juni ya kumpitisha Dr. wilbrod Slaa kuwa mgombea wa Chama chetu pia Mbowe alifuta taratibu za uchaguzi wa ndani wa kumpata mgombea urais wa CHADEMA, Mbowe alituleta Lowassa toka CCM akasema tu kuwa kabadili gia angani.
MBOWE.jpg

Mwenyekiti Mbowe

· Mwaka 2013, Mbowe alibadili katiba ya Chama chetu na kuweka kifungu cha mwanachama kutokwenda kutafuta haki Mahakamani kwa maamuzi yoyote yale ya Vikao vya chama.

· Mwaka 2013, Mbowe alimtimua ZItto uanachama kwasababu alijipanga kugombea uenyekiti ndani ya Chama chetu, alitimua pia watu wote waliokuwa wanamuunga mkono Zito kuchuana na Mbowe kwenye uenyekiti

· Mwaka 2009, Mbowe alitumia baraza la wazee kumuengua Zitto katika kinyang’anyiro cha uenyekiti wa chama chetu,,akabaki peke yake

· Mwaka 2008, Mbowe alisimamishwa uongozi(Umakam mwenyekiti Bara) Chacha Wangwe, huku uanachama wake ukisubir kujadiliwa. Baada ya Marehem Chacha Wangwe Kuitisha Vyombo vya habari ili kutolea ufafanuzi wa hoja alizoziita za kizushi za usimamishwaji wa uongozi wake na kujadiliwa kwa uanachama wake pia aliahidi kuendelea kudai haki yake mpaka kieleweke ndani ya chama pamoja na kuhakikisha chama chetu kinasimama imara, NADHANI KILA MTU ANAJUA KILICHOMPATA CHACHA WANGWE. Ikimbukwe Marehemu Chacha Wangwe alitangaza kugombea Uenyekiti wa Chadema Taifa katika uchaguzi wa mwaka 2009.
sisopi.png

Patrick Ole Sisopi

· Ikumbukwe pia mwaka 2004, Mbowe alikabidhiwa Chama na Marehemu Bob Makani ambaye aliyemuoa dada yake wa Muasisi wa Chama chetu ambaye pia ni Mkwe wa Mwenyekiti wetu wa sasa, Mbowe. Kabla ya Makani Chama chetu kiliongozwa na Edwin Mtei

Kwahiyo alichokifanya Jana Mbowe kwa kumuondoa Patrick Ole halikuwa jambo geni kufanywa na Mbowe.

Binafsi namuomba Mbowe kama anapinia Demokrasia nchini basi tuione anaitekeleza ndani ya chama chetu. Haipendezi ccm wajibu hoja zetu nzito za kudai demokrasia kwa ule msemo maarufu wa ‘Nyani haoni kundule’

Said Amiri Said- Mwanachana Chadema
 
YABUUU

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
1,504
2,000
kuna ukwel ndan ya hoja yako kuhusu mbowe na ubabe wake ktk chama, ila takupnga 100% ktk hoja yako, "ccm haina mwenyewe" yaan ktk kichwa chako unaamin ccm haina wenyewe?, hiv wenye ccm we uwajui? kile chama kna wenyewe na wenyewe ndo hao wanaoteuana kila cku, watoto wa wanachama ngaz ya chn ndo hao wanakosa mkopo na ajira. ccm ingekuwa haina mwenyew vyeo vya kubaguana vcngekuepo ndugu yang, onaa makada wavyopewa vyeo tafkir hakuna watoto wa wawanachama wa chn wenye sifa, elm na vgezo.
 
Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,729

Na baada ya kuyashuhudia yote hayo wewe bado ni mwanachama wa CDM? Ulifanya nini kubadilisha hali hiyo?
 
Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,729
2,000
kuna ukwel ndan ya hoja yako kuhusu mbowe na ubabe wake ktk chama, ila takupnga 100% ktk hoja yako, "ccm haina mwenyewe" yaan ktk kichwa chako unaamin ccm haina wenyewe?, hiv wenye ccm we uwajui? kile chama kna wenyewe na wenyewe ndo hao wanaoteuana kila cku, watoto wa wanachama ngaz ya chn ndo hao wanakosa mkopo na ajira. ccm ingekuwa haina mwenyew vyeo vya kubaguana vcngekuepo ndugu yang, onaa makada wavyopewa vyeo tafkir hakuna watoto wa wawanachama wa chn wenye sifa, elm na vgezo.
Hajawasikia wakiimba kuwa CCM ina wenyewe.
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,206
2,000
Jana,22/12/2016 katika uchaguzi wa CHADEMA kanda ya Nyasa umenifanya niyakumbuke maneno ya mwanamitindo na Mjasiriamali Nguli Afrika, Jokate Mwegelo alipoulizwa na moja ya vyombo vya habari kuwa anakipenda chama gani cha siasa nchini, Naye akajibu bila woga kuwa anakipenda Chama cha Mapinduzi kwasababu HAKINA MWENYEWE. Wakati anayasema hayo kipindi kile sikumwelewa ila Uchaguzi wa Chadema kanda ya Nyasa uliofanyika Jana ndo ulinipa akili za ziada ya kumwelewa Jokate.

Kwanza nianze kwa kumpa pole za dhati kabisa Makamu wangu Mwenyekiti wa bavicha, bw Patrick Ole Sisopi kwa kufanyiwa ukatili ule na Mwenyekiti Mbowe dakika chache kabla ya kupiga kura.Ingawa mimi hili halikunishangaza kutokana na uhodari wa Mbowe wa kubadilisha Gia angani kwa kubadili(binafsi) maamuzi ya Halmashauri kuu ya chama chetu;

· Ikumbukwe Agosti,2015 Mbowe alibadili maamuzi ya Halmashauri kuu ya chama ya februari na juni ya kumpitisha Dr. wilbrod Slaa kuwa mgombea wa Chama chetu pia Mbowe alifuta taratibu za uchaguzi wa ndani wa kumpata mgombea urais wa CHADEMA, Mbowe alituleta Lowassa toka CCM akasema tu kuwa kabadili gia angani.

· Mwaka 2013, Mbowe alibadili katiba ya Chama chetu na kuweka kifungu cha mwanachama kutokwenda kutafuta haki Mahakamani kwa maamuzi yoyote yale ya Vikao vya chama.

· Mwaka 2013, Mbowe alimtimua ZItto uanachama kwasababu alijipanga kugombea uenyekiti ndani ya Chama chetu, alitimua pia watu wote waliokuwa wanamuunga mkono Zito kuchuana na Mbowe kwenye uenyekiti

· Mwaka 2009, Mbowe alitumia baraza la wazee kumuengua Zitto katika kinyang’anyiro cha uenyekiti wa chama chetu,,akabaki peke yake

· Mwaka 2008, Mbowe alisimamishwa uongozi(Umakam mwenyekiti Bara) Chacha Wangwe, huku uanachama wake ukisubir kujadiliwa. Baada ya Marehem Chacha Wangwe Kuitisha Vyombo vya habari ili kutolea ufafanuzi wa hoja alizoziita za kizushi za usimamishwaji wa uongozi wake na kujadiliwa kwa uanachama wake pia aliahidi kuendelea kudai haki yake mpaka kieleweke ndani ya chama pamoja na kuhakikisha chama chetu kinasimama imara, NADHANI KILA MTU ANAJUA KILICHOMPATA CHACHA WANGWE. Ikimbukwe Marehemu Chacha Wangwe alitangaza kugombea Uenyekiti wa Chadema Taifa katika uchaguzi wa mwaka 2009.

· Ikumbukwe pia mwaka 2004, Mbowe alikabidhiwa Chama na Marehemu Bob Makani ambaye aliyemuoa dada yake wa Muasisi wa Chama chetu ambaye pia ni Mkwe wa Mwenyekiti wetu wa sasa, Mbowe. Kabla ya Makani Chama chetu kiliongozwa na Edwin Mtei

Kwahiyo alichokifanya Jana Mbowe kwa kumuondoa Patrick Ole halikuwa jambo geni kufanywa na Mbowe.

Binafsi namuomba Mbowe kama anapinia Demokrasia nchini basi tuione anaitekeleza ndani ya chama chetu. Haipendezi ccm wajibu hoja zetu nzito za kudai demokrasia kwa ule msemo maarufu wa ‘Nyani haoni kundule’

Said Amiri Said- Mwanachana Chadema
Who is Jokate??
 
malisoka

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
1,863

YES
So what? Si kuna vikao vya chama na namna ya kupeleka malalamiko yako? Kama hakuna utaratubu huo Achana na chama hicho. Nenda chama kingine. Kama si hivyo Wewe ni mzushi kwa kutokufuta taratibu za chama za kuwasilisha malalamiko.

Lakini Pole Umeumia!!
 
Mhadzabe

JF-Expert Member
May 20, 2009
2,836
2,000
Watanzania wengi no kama mapopo!, ...hatueleweki. Kama Angekatwa au kulitwa SoSopi na Msigwa kuangukia pua humu pia kusingekalika. Wangesema amechaguliwa MTU w Kaskazini! na kwamba inamaana hakuna MTU wa asili wa eneo hilo kuwa mwenyekiti wa kanda hiyo mpaka alrtwe mtu wa kaskazini? ( hata kama Sisopi ni mzaliwa wa kanda hiyo)

Kiongozi bora ni yule anayekea influence yake kwa MTU anayeona atakiunganisha na kukipa ushindi zaidi chama na sio tu kwa kuwa anashabikiwa na watu!
 
Mgaya D.W

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
966
250
Jana,22/12/2016 katika uchaguzi wa CHADEMA kanda ya Nyasa umenifanya niyakumbuke maneno ya mwanamitindo na Mjasiriamali Nguli Afrika, Jokate Mwegelo alipoulizwa na moja ya vyombo vya habari kuwa anakipenda chama gani cha siasa nchini, Naye akajibu bila woga kuwa anakipenda Chama cha Mapinduzi kwasababu HAKINA MWENYEWE. Wakati anayasema hayo kipindi kile sikumwelewa ila Uchaguzi wa Chadema kanda ya Nyasa uliofanyika Jana ndo ulinipa akili za ziada ya kumwelewa Jokate.

Kwanza nianze kwa kumpa pole za dhati kabisa Makamu wangu Mwenyekiti wa bavicha, bw Patrick Ole Sisopi kwa kufanyiwa ukatili ule na Mwenyekiti Mbowe dakika chache kabla ya kupiga kura.Ingawa mimi hili halikunishangaza kutokana na uhodari wa Mbowe wa kubadilisha Gia angani kwa kubadili(binafsi) maamuzi ya Halmashauri kuu ya chama chetu;

· Ikumbukwe Agosti,2015 Mbowe alibadili maamuzi ya Halmashauri kuu ya chama ya februari na juni ya kumpitisha Dr. wilbrod Slaa kuwa mgombea wa Chama chetu pia Mbowe alifuta taratibu za uchaguzi wa ndani wa kumpata mgombea urais wa CHADEMA, Mbowe alituleta Lowassa toka CCM akasema tu kuwa kabadili gia angani.

· Mwaka 2013, Mbowe alibadili katiba ya Chama chetu na kuweka kifungu cha mwanachama kutokwenda kutafuta haki Mahakamani kwa maamuzi yoyote yale ya Vikao vya chama.

· Mwaka 2013, Mbowe alimtimua ZItto uanachama kwasababu alijipanga kugombea uenyekiti ndani ya Chama chetu, alitimua pia watu wote waliokuwa wanamuunga mkono Zito kuchuana na Mbowe kwenye uenyekiti

· Mwaka 2009, Mbowe alitumia baraza la wazee kumuengua Zitto katika kinyang’anyiro cha uenyekiti wa chama chetu,,akabaki peke yake

· Mwaka 2008, Mbowe alisimamishwa uongozi(Umakam mwenyekiti Bara) Chacha Wangwe, huku uanachama wake ukisubir kujadiliwa. Baada ya Marehem Chacha Wangwe Kuitisha Vyombo vya habari ili kutolea ufafanuzi wa hoja alizoziita za kizushi za usimamishwaji wa uongozi wake na kujadiliwa kwa uanachama wake pia aliahidi kuendelea kudai haki yake mpaka kieleweke ndani ya chama pamoja na kuhakikisha chama chetu kinasimama imara, NADHANI KILA MTU ANAJUA KILICHOMPATA CHACHA WANGWE. Ikimbukwe Marehemu Chacha Wangwe alitangaza kugombea Uenyekiti wa Chadema Taifa katika uchaguzi wa mwaka 2009.

· Ikumbukwe pia mwaka 2004, Mbowe alikabidhiwa Chama na Marehemu Bob Makani ambaye aliyemuoa dada yake wa Muasisi wa Chama chetu ambaye pia ni Mkwe wa Mwenyekiti wetu wa sasa, Mbowe. Kabla ya Makani Chama chetu kiliongozwa na Edwin Mtei

Kwahiyo alichokifanya Jana Mbowe kwa kumuondoa Patrick Ole halikuwa jambo geni kufanywa na Mbowe.

Binafsi namuomba Mbowe kama anapinia Demokrasia nchini basi tuione anaitekeleza ndani ya chama chetu. Haipendezi ccm wajibu hoja zetu nzito za kudai demokrasia kwa ule msemo maarufu wa ‘Nyani haoni kundule’

Said Amiri Said- Mwanachana Chadema
Jokate ni nani ndani ya CCM kiasi cha kumpa platform ya kisiasa kwenye Uzi wako?

Naomba kujifunza kitu kutoka kwako, Patrick Ole Sosopi Ni Mkazi WA Eneo Gani katika Kanda ya Nyasa?

Je,Ni Mbowe ndiye aliyepitisha majina ya wagombea na hakukuwa na viongozi wengine?

Je,Ni Mbowe ndiye aliyepitisha kura za kumpitisha Mch. Peter Msigwa?

Je,kuondolewa Kwa Patrick Ole Sosopi na wengine kama walikuwepo kumetolewa sababu ama hakukuwa na sababu? Please nisaidie ili nijue msingi wa malalamiko yako Mkuu.

Sote tunajifunza kupitia wengine.
 
Mgaya D.W

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
966
250
Pia kumekuwepo taarifa za Mbowe kuuza chama,na mnunuzi akiwa Ni Mh Lowassa.Je, amekirejesha tena mikononi mwake?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom