Bunsen Burner
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 909
- 1,099
Hilo limekuwa tatizo kubwa Tz, la kupongeza pongeza kwa mtu anayefanya kazi ya wale walio muajiri aifanye, na kodi yako ndo inamlipa kwa service aliyopaswa kutoa...sawa sikatai kupongeza lakini isiwe' too much' utafikiri anawafanyia bure, na ni kama fadhila tu kwa wananchi..... kaazi kwelikweli.
Mtu anapongezwa kwa kufanya kazi zake?
Postman akifikisha barua au mzigo mahali husika tunahitaji kumpongeza?