Jokate: Kila jambo na wakati wake

Huhitaji kuwa na PHD ili kuwa kiongozi mzuri, kwa mujibu wa maoni ya wengi huyu binti ameweza kuongoza vizuri licha ya kuwa ndie DC alietukanwa na kukebehewa Zaidi kuliko yoyote wakati anateuliwa.
Ni a breath of fresh air, viongozi wengi wa hii nchi wa nyadhifa tafauti ni makatili mno pamoja pia ni Mijizi mikubwa.
 
Back
Top Bottom