Joka mwenye vichwa saba

HARVESTER

JF-Expert Member
Apr 25, 2013
287
239
Nimekuwa nikisikia kuwa kuna joka lenye vichwa saba linapatikana duniani.Kuna bwana mmoja aliniambia joka hili huuwa linapita chini ya miamba ya milima kwa mwaka mara moja hata hapa Tanzania chini ya milima mikubwa.Wanasema watu wanaohitaji utajiri huwa wanatega visu kwenye njia linayopita ili kupata kipande cha gamba lake ambacho kinahusishwa na kupata utajiri. Naomba mwenye utaalamu au uelewa kuhusu hili joka atujuze tuweze kujua kuhusu hili joka
 
Kukaa vijiweni raha,haukosi cha kukutengenezea siku..
 
Kumbe ndo maana na white girl nliona anatega visu mlimani!. poleni sana. Joka walishamuua zamani so kama hilo gamba hampati hata robo..hahahahaaaa...!!!
1386510522356.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hilo joka (joka la moto) inasemekana huwa linapita sana kwenye migodi ya dhahabu ya Witwatersrand South Africa.Wanasema baadhi ya wazee waliokuwa wakifanya kazi huko inasemekana walifanikiwa kutega na kurudi na vipande vya hayo magamba waliviuza kwa matajiri wakubwa. Wanavyosema hilo gamba huwezi kupanda nalo kwenye ndege kama ukipanda nalo ndege lazima iyumbe sana na rubani lazima atue kwa dharura na kutangaza kama kuna kitu kisicho cha kawaida mtu amebeba akisalimishe. Marubani huwa wanajua hiyo issue si kitu kigeni kwa wale marubani wa muda mrefu.Hata ukipanda nacho kwenye gari napo ni disaster kubwa pia. Kuna ndugu yangu mmoja pale Mbeya yeye alijaribu kutega lakini hakufanikiwa kulipata ila anasema kuna msukuma mmoja rafiki yake alifanikiwa kutega na akapata lakini lilikuwa janga kwake alipoweka nyumbani nyumba ilikuwa inatetemeka sana ikabidi aite mafndi walitoe wanavyosema alishindwa kuhandle hilo gamba. Matajiri wengi wakubwa inasemekana wana hayo magamba na inasemekana yanatumika kuvuta utajiri mkubwa.
 
Stori za vijiweni.
Ni story lakini hayo mambo haya yapo mkuu , usiignore moja kwa moja , mimi nimezungmza na mt ambaye alisha fanya jaribio la kutega ingawa hakufanikiwa ila wenzake walifanikiwa.Na ni utajiri unaokuwa controlled na Lucifer moja kwa moja mkuu,
 
Mie ninalo hilo joka nimelifuga home kwangu,so natenga siku maalumu ili nilipopowe mpaka life kisha nianze kuuza magamba yake,tayari kuna wazito wa nje na ndani ya nchi wameshanipa oda na kila anaye place order to me lazima alipie form ambayo ni tsh 11,371 tuu.
Nipe PM ntakuwekea namba yangu unirushie.
 
Back
Top Bottom