Vyuo vitoe joining instructions na confirmation mapema ili tujiandae

grammy

Member
Aug 29, 2017
20
9
Wadau habari zenu?
Hongereni wale mliochaguliwa kozi mbalimbali na NACTE, imetangazwa vyuo vinafunguliwa tarehe 25/9 lakini joining instructions bado. Tunaomba wazitoe mapema ili tupate muda wa kutosha kufanya maandalizi.Thanks
 
Hii hali mwenyewe inanikera kweli nikiingia kwenye profile yangu wanasema chuo kitawasiliana na mimi Kwa uthibitisho na naandikiwa pending
 
Jiongezeni kama mnataka kusoma,cha msingi utafute mawasiliano ya chuo husika uwapigie watakuthibitisha na kukutumia joining instructions kwenye email yako mara moja. Kuthibitisha haya jana tu kuna aliyewasiliana na Kleruu na kutumiwa Joining Instructions yake hapohapo pamoja na kwamba kwenye profile yake ni Pendig akisubiri kuthibitishwa.
 
Nalifanyia kazi hilo wazo zuri
 
Mkuu nimefanya yote hayo ila chuo changu nilichopangiwa shida tupu wanasema kuwa mvimilivu ukipiga tena wanasema subirini mtatafutwa ndani ya siku mbili mpaka Leo wanapiga chenga sijui ata tatizo nini
 
wazo zuri sana
 
Komaa nao yawezekana bado wapo kwenye mifumo ya zamani na wakikuambia ndani siku mbili piga simu usikate tamaa.
 
Back
Top Bottom