Join our club! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Join our club!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Invisible, Sep 10, 2008.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Sep 10, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Habari...

  Ungependa kushirikiana kwa karibu na JF Administration crew? Ungependa kuchangia utaalam wako kwa manufaa ya wengine? Unawazia kuisaidia Jamii kwa kushirikiana na wenzako na kubadilishana utaalam?

  Basi tunakuhitaji!

  Jamii Forums kama chombo kinachojitegemea ingependa kukupa fursa ya kushirikiana na wenzako kubadilishana utaalam na kukuwezesha kujipatia kipato (kama ukiweza).

  Haijalishi ni utaalam gani unao, unahitajika! Kuna mradi mkubwa utaanza karibuni na kwa manufaa yako na jamii nzima basi wasiliana nasi ili tunapoanza mradi huu uwe sehemu yetu!

  Utapewa nafasi hata ya kuwa na tovuti binafsi, barua pepe binafsi n.k. Utapewa nafasi ya kukutosheleza kwa kadiri ya mahitaji yako.

  Dhamira ni kuwapa fursa wote wenye kuhitaji fursa hizi na kuzikosa kwa sababu moja ama nyingine.

  Maelezo zaidi na kwa kina yatakujieni lakini kwa wale wenye dhamira ya kupata nafasi mbalimbali ama wenye nia ya kuwa nasi katika Management wanakaribishwa.

  Andika barua pepe kwenda kwa invisible@jamiiforums.com ukitoa ombi, pendekezo la nini wataka kufanya na kivipi na nini wahitaji.

  Hili ni tangazo lisilojitosheleza kwa sababu maalum. Wasiliana nasi kwa ufafanuzi zaidi.

  Barua pepe zote zitajibiwa!
   
 2. O

  Ogah JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  .......mmmhhh......ngoja niandae proposal ya kujiunga na hiyo club....asante invisible kwa ukarimu wako
   
 3. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Wazo zuri...!
   
 4. H

  Haika JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  unatafuta mamoderators au?
   
 5. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #5
  Sep 11, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  NO,

  I mean HAPANA!

  Nawashukuru watu takribani 22 ambao mshatuma mapendekezo yenu na wengine maombi yenu kujiunga na Club yetu.

  Nyote mtajibiwa, na mnakaribishwa sana!
   
 6. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Invisible, unatumia automail responder nini?! hivi utakaa chini na kujibu barua pepe zote kweli zikianza ku-flood inbox yako?... nakutakia mema tu katika hili, ila nakukumbusha kuwa jamvi hili linawanachama zaidi ya 5000! Na wote hawachelewi kukuandikia kwa mkupuo. Ningelikuwa mimi hapo juu ningelisema: Barua pepe zote zitakazodhihirika zinalengo la kushirikiana zitajibiwa!

  Ni maoni yangu tu Robot, usijeanza kunitisha na vimilio vya kama kitu kinataka kulipuka vya kimashine mashine tu miye kama za yule jamaa mweusi kwenye Police Academy!!... :)
   
 7. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #7
  Sep 11, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  I can afford to reply to em mails I receive from all folks :)

  BTW: Si wote wangependa kuandika... Believe me, zaidi 50% ya mails nilizopata zina mlengo wa kutaka kuingia katika hii club na wote wanaonesha wana profession tofautitofauti. Hii itasaidia nyanja zote kuweza kutoshelezwa (labda).

  Bado fursa iko wazi
   
 8. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145

  Sawa Robot, ahsante kwa kuonesha una nia njema ya kuzijibu. Ngoja nami nijikite kuandika moja. Natumaini itakuwa moja kati ya hizo 50% zenye mlengo wa kuingia katika club.

  Naomba ukiona email kwenye inbox yako ina ******* nyingi ujue ni mimi, pls usiitupe kwenye junk mail. Ahsante.
   
 9. Sam GM

  Sam GM JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 536
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Inv,

  Kweli maendeleo yataletwa na sisi wenyewe,
   
 10. M

  Mama JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  nilikuwa sijaiona hii. Ningependa jiunga ila......
   
 11. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hii inasound vizuri invisible lakini labda niseme kweli. Sijaelewa vizuri. Can you explain to me cleary ni nini hasa na ni kwa wale walio na vipaji fulani waombe kwa kueleza vipaji vyao? Naelekea sijaelewa vizuri. Nisaidie kwa kunielewesha zaidi. where posible ni PM
   
 12. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2008
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Nina amini kwenye msafara wa mamba na kenge watakuwemo. Kazi unayo ya kutenganisha mamba na kenge!

  But keep it up, some people were born for others while some crooks were born for their vijisenti and bellies!! Malipo ni hapa hapa duniani asikudanganye mtu. Kandamiza mzigo tu!
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,167
  Likes Received: 5,592
  Trophy Points: 280
  where posible ni PM

  NA MI UNI PM MEKUUUUUUUUU ULAKUSO KANYIIIIIIIIIII
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,167
  Likes Received: 5,592
  Trophy Points: 280
  Keep it up br mungu akujalie na wema na mawazo yako
  ila nilikuwa naombi si pia wangeweka proffessional zao hapa ubaoni live zingewa kuwasaidia wengi zaidi na natumaini watafanya hivyo br,hii itakurahisishia hata wewe pia
  mungu akubariki soon ntakuwa mmoja wao!!
   
 15. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Maombi in here nop not good ideal...most of us use hidden names...and puting our proffesional...let it be the way Invisible started..we can make it through this.

  This ideal came at the right time...but we are some how far apart from each other.But invisible might know us to some extent...he have met them face to face.So will be easy to him...to extract and validate us.

  Regards
  Buswelu
   
  Last edited: Oct 28, 2008
 16. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Suki, you're being impolite! Make use of "Private Message" feature instead.
  .
   
 17. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Mimi nafikiri Invisible anafanya SENSA fulani anonymously
   
Loading...