Nimekuwa najiuliza sana hili swali, miaka ya karibuni hili vazi maalum la mahafali limekuwa likivaliwa kiholela holela tofauti na zamani...Je kuna stage maalum ambayo mtu akifikia anatakiwa avae hilo gauni au hata ukimaliza nursery, primary etc unavaa joho??
Naona kama heshima na mvuto wa joho umeshuka sana kwa sababu ya kuvaliwa kiholela.
wadau mnaonaje hii??
Naona kama heshima na mvuto wa joho umeshuka sana kwa sababu ya kuvaliwa kiholela.
wadau mnaonaje hii??