Johnson Mbwambo arudi katika libeneke

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
Huyu ni Mwandishi wa makala za TAFAKURI JADIDI katika gazeti makini la Raia Mwema, kwa zaidi ya mwezi sasa alikuwa kimya kutokana na kuugua ugonjwa wa Moyo. Mungu amemjalia na amerudi katika libeneke. Honestly ni moja kati ya Journalist makini katika nchi hii.
Bravo Mbwambo
 
Hata mie nimefurahi karudi angalau atuonyeshe njia na kuonyesha njia sio lazima uwe mh Mbunge,katika bongo kati ya waandishi mahiri watano yey ni mmoja wapo akiwa pamoja na Jenerali Ulimwengu,Lula,Mihangwa na padri Karugendo katika hilo jopo ningekuwa na uwezo ningemrudisha mchora katuni maarufu Mtz aliyehamia Kenya Gado sijui Gado kwa nini hatuletei tena katuni zinazohusu mambo ya TZ kama ile wapambe walipokuwa wanalamba viatu vya mkulu
 
Tunamuombea mwenyezi Mungu azidi kumpa afya njema ili aendelee na kazi yake ya kutuelimisha kwa kuandika TAFAKULI JADIDI! Mwandishi Ansbert Ngurumo nae sijamsoma kama wiki mbili hivi nae yuko wapi? Wasijekuwa wamemfanyizia hawa mafisadi kwani wamemuwinda siku nyingi sana huyu bwana hata kwa kutaka kumnunua!!
 
Back
Top Bottom