John Thornton C. E. O wa Barrick Gold

RUKUKU BOY

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
1,456
1,662
Kama ilivyo kawaida JF ni sehemu ya kujifunza mengi. Sasa nilijaribu kutafuta data na biography ya huyu bwana inaonekana huyu jamaa ni kichwa. Amefundisha vyuo vingi China na amekuwa mstari wa mbele kuwashauri wachina jinsi ya kukuza tekinolojia yao. mwaka 2014 iliwalazimu Barrick Gold kutoa $11m, Kama bonus ofa ili awaendeshee kampuni yao. Na tangia apo kampuni imepata mafanikio makubwa. kwa mwana JF anayemjua zaidi huyu mtu ebu tiririka maana aliweza kuzima kelele za JPM kwa dakika moja
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom