John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

Yaleyale ya sisiem.....bavicha msimamo wao.......cdm taifa msimamo wao....tutafika kweli?????????????????
 
Wajumbe wa APRM mojawapo wa malengo yao ni kugombea Urais? Au Shibuda alikuwa na Mada ya kugombea urais 2015 kwa hiyo kupitia malengo ya APRM akaambiwa aitoe? Na ilijadiliwa na akina nani? SHIBUDA HAKUNA KUOMBWA RADHI YOYOTE UKAE TU KAMA MKIWA..............Heko BAVICHA kwa Tamko lenu.
 
Pole sana mhe,shibuda utapambana na nguvu ya umma waliuze madiwani wa arusha,na sasa wanaomba msamaha wakati mlango wa msamaha ulisha fungwa,wale waliokua wakiwadanganya kila kukicha wanakimbilia CHADEMA ili wanusilike
Nadhani ulikua huijui maana hali ya NGUVU YA UMMA sasa tutakuonesha
 
busara zitumike kwa bavicha ku handle hii issue ili isiwe ni kupakana matope mwisho wa siku aibu iwe ni ya chama maanake yule jamaa ni mtata na wao wakijifanya ni watu wa ligi itakuwa ni kuchafuana
 
SHIBUDA NI KUWADI WA FITINA, sasa kanaswa pabaya , CDM satakimbia mwenyewe, hatuna muda wa kugombana nae, mwenyewe atarudi anakostahili akiacha chama kuwa mahala salama zaidi kwa wanaharakati wa UKOMBOZI WA TAIFA HILI.
 
Bavicha tunaomba huyu msimtake radhi na kama anataka kuleta ligi tutawapa tactics nzuri za kumuondosha CDM kimya kimya,kuna strategies zimeiva zinasubiri kupakuliwa tu wala msihofu,na kwa ushauri wangu Bavicha msimuombe radhi huyu.msitishike na kipaji chake cha kupayuka

Msimshtue subirini tuipeleke sisiemu kaburini halafu turudi kumtengeneza yeye akose pa kukimbilia
 
Kamanda Shibuda mpaka kieleweke.
Hata huna huruma kwake huyu ni mzee sasa kumbuka alisema nini juu ya posho,huyu ni uzee unamusumua mwaache aendelea kupata pressure fulani ili aweze kustaafu vizuri siasa
 
busara zitumike kwa bavicha ku handle hii issue ili isiwe ni kupakana matope mwisho wa siku aibu iwe ni ya chama maanake yule jamaa ni mtata na wao wakijifanya ni watu wa ligi itakuwa ni kuchafuana

Hana ubavu huo, haijakaa sawa aliyoyafanya yeye ndio aiombe radhi CDM kwa kuishushia hadhi kuwa haiwezi kumuweka rais madarakani
 
Back
Top Bottom