Uchaguzi 2020 John Shibuda apitishwa kugombea Urais wa Tanzania kwa Chama cha ADA-TADEA

Chama cha ADA -TADEA kimempitisha John Shibuda kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 120 kati ya kura 130 zilizopigwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho huku mgombea mwenzake Mastadia Hilari akiambulia kura 10

Aidha, Chama hicho kimechangua Juma Ali Khatib kuwa mgombea wa urais kwa upande wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu

Shibuda ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa amesema akishinda Urais atahakikisha anaweka usawa kwa wananchi ikiwemo kuendesha shighuli za kisiasa pasipo kuweka upendeleo kwa yeyote
Hivi kuna chama katika Tanzania kinachoitwa kwa jina hili?
 
Naombeni kuuliza, hivi kirefu cha ADA TADEA ni nini ?
 
Shibu man

Back
Top Bottom