Tutajengaje hub kwa matendo haya? Natumai wahusika wataliona hili na kuwashughulika waliotajwa. Wanapo pa kuanzia, maafisa wa shirika husika la ndege na wale wote walioorodheshwa kwenye andiko wahojiwe wathibitishwe. Huyo Afisa in charge hastaili kuwepo hapo uwanja wa ndege. na zaidi ninamshangaa huyo Mkurugenzi aliyeonekana kutokuelewa tatizo hata baada ya kuambiwa kwa Kiswahili!