Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,633
Hivi mbeya inawabunge wangapi wa chadema dadaWatu wa Mbeya wamebarikiwa kwa ardhi safi, mvua za kutosha, vyakula kama vyote lakini hawaitaki CCM.
Dodoma kwa wagogo wana shida za kila aina njaa, maradhi, milembe, ukame, kusahauliwa na serikali, viongozi wa ajabu ajabu kama Lusinde na Ndugai ila bado wameikumbatia CCM.