mbere kwa mbereHii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Chadema kwa watu wote Duniani .
KWA FAIDA YA WANA JF na WATANZANIA WENGINE Ikumbukwe kwamba Mgombea ubunge wa Chadema kwenye ulioitwa uchaguzi mkuu wa 2020 Jimbo la Mbarali alikuwa ni Bingwa wa magonjwa ya upumuaji Nchini Marekani , Dr Liberatus Mwang'ombe , Taarifa zinaonyesha kwamba alishinda Uchaguzi ule ila kama ilivyoagizwa Hakutangazwa.
Ndio maana Chadema imemtuma Mkurugenzi wake wa Itifaki na Mambo ya Nje , Mh John Mrema kuongoza Chadema digital kwenye jimbo hilo .
View attachment 1995157
Mungu ibariki Chadema