John Mrema aumbuliwa Shinyanga

Status
Not open for further replies.

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Kiongozi wa msafara kanda ya ziwa aliyetumwa na kamati ya chadema ili kuzunguka nchi nzima kutangaza mabaya ya zitto kabwe ameumbuliwa na kikao cha madiwani na wanachadema ....

Madiwani waliuliza kwann zitto hakufukuzwa toka zamani mpaka musubiri kipindi cha uchaguzi ??

Wakafika mbali na kusema km zitto akifukuzwa basi muwalete madiwani kutoka kilimanjaro waje kushika nafasi zetu huku shinyanga

tumechoka na tabia za ubaguzi.....

Cc: Chadema wahafidhina
 
Je unaweza kutusaidia kupata majibu ya Changamoto hizi chini ya Utawala wa CCM. Badala ya kuzungumzia mambo ya Zitto Kabwe ndani ya Chama chake?

1. Kuboresha Elimu
2. Kusaini mikataba safi
3. Kuwakamata walioficha mabilioni Uswiss
4. Ile sera ya kuvua Magamba ilifia wapi?
5. Madawa ya Kulevya
6. Ufisadi utakomeshwa lini?
7. Kuuawa kwa Tembo na Biashara ya Menno na pembe za Tembo
8. ununuzi wa magari ya kifahari
9. Gesi itachimbwa wazawa sio wageni tena
10. Ajira
11. Azimio la Arusha
12. Air Tanzania itarudi lini?
13. Watuhumiwa wa makosa mbalimbali mbona hawakamatwi?
14. Ripoti ya mabomu kule Arusha itatolewa kweli?
15. Wananchi wa Kigamboni hawataambiwa kuogelea tena, wala wale watakaoshindwa kulipia umeme hawataambiwa watumie vibatari wala wale wenye kutaka kuwekeza kwenye gesi sasa hawataambiwa kujishughuliza na utengenezaji na uuzaji wa Juice
 
Ukisema sema haya weka na ushahidi vinginvyo ukitaka kujua kwamba Zitto hakubaliki jana walipima upepo ITV uliona mjadala na alitetewa na wana CCM pekee pale ndani .Zitto anaweza kutoa Chadema akaanzisha Chama chake akawa Mwenyekiti huko na atakuwa kesha achana chama kibaya cha Chadema .
 
Je unaweza kutusaidia kupata majibu ya Changamoto hizi chini ya Utawala wa CCM. Badala ya kuzungumzia mambo ya Zitto Kabwe ndani ya Chama chake?

1. Kuboresha Elimu
2. Kusaini mikataba safi
3. Kuwakamata walioficha mabilioni Uswiss
4. Ile sera ya kuvua Magamba ilifia wapi?
5. Madawa ya Kulevya
6. Ufisadi utakomeshwa lini?
7. Kuuawa kwa Tembo na Biashara ya Menno na pembe za Tembo
8. ununuzi wa magari ya kifahari
9. Gesi itachimbwa wazawa sio wageni tena
10. Ajira
11. Azimio la Arusha
12. Air Tanzania itarudi lini?
13. Watuhumiwa wa makosa mbalimbali mbona hawakamatwi?
14. Ripoti ya mabomu kule Arusha itatolewa kweli?
15. Wananchi wa Kigamboni hawataambiwa kuogelea tena, wala wale watakaoshindwa kulipia umeme hawataambiwa watumie vibatari wala wale wenye kutaka kuwekeza kwenye gesi sasa hawataambiwa kujishughuliza na utengenezaji na uuzaji wa Juice

Akikupa majibu yanayotosheleza najitoa JF moja kwa moja
 
Kiongozi wa msafara kanda ya ziwa aliyetumwa na kamati ya chadema ili kuzunguka nchi nzima kutangaza mabaya ya zitto kabwe ameumbuliwa na kikao cha madiwani na wanachadema ....

Madiwani waliuliza kwann zitto hakufukuzwa toka zamani mpaka musubiri kipindi cha uchaguzi ??

Wakafika mbali na kusema km zitto akifukuzwa basi muwalete madiwani kutoka kilimanjaro waje kushika nafasi zetu huku shinyanga

tumechoka na tabia za ubaguzi.....

Cc: Chadema wahafidhina

Acha uongo.Njoo uthibitishe haya!Ni kamati gani hiyo?
 
ukisema sema haya weka na ushahidi vinginvyo ukitaka kujua kwamba zitto hakubaliki jana walipima upepo itv uliona mjadala na alitetewa na wana ccm pekee pale ndani .zitto anaweza kutoa chadema akaanzisha chama chake akawa mwenyekiti huko na atakuwa kesha achana chama kibaya cha chadema .

ushahidi kamili muulizeni john mrema kilichomkuta huko shinyanga

ameumbuka vbaya vbaya ...

Mnaambiwa mjadala umeisha huku nyuma wanazunguka na kutuma watu wakapakaze mabaya ya zitto
 
Kiongozi wa msafara kanda ya ziwa aliyetumwa na kamati ya chadema ili kuzunguka nchi nzima kutangaza mabaya ya zitto kabwe ameumbuliwa na kikao cha madiwani na wanachadema ....

Madiwani waliuliza kwann zitto hakufukuzwa toka zamani mpaka musubiri kipindi cha uchaguzi ??

Wakafika mbali na kusema km zitto akifukuzwa basi muwalete madiwani kutoka kilimanjaro waje kushika nafasi zetu huku shinyanga

tumechoka na tabia za ubaguzi.....

Cc: Chadema wahafidhina
Mtaweweseka sana mwaka huu

Chadema imewapiga nyundo nzito sana ku-mkichwa

Nyie anzisheni tu sredi asubihi mpaka jioni ila mjue chadema inazidi kuimarika
 
Kiongozi wa msafara kanda ya ziwa aliyetumwa na kamati ya chadema ili kuzunguka nchi nzima kutangaza mabaya ya zitto kabwe ameumbuliwa na kikao cha madiwani na wanachadema ....

Madiwani waliuliza kwann zitto hakufukuzwa toka zamani mpaka musubiri kipindi cha uchaguzi ??

Wakafika mbali na kusema km zitto akifukuzwa basi muwalete madiwani kutoka kilimanjaro waje kushika nafasi zetu huku shinyanga

tumechoka na tabia za ubaguzi.....

Cc: Chadema wahafidhina
CHADEMA hawampendi Zitto!... si ahamie CHAUMMA?... Au CCM wanaomfagilia kila siku?
 
Acha uongo.Njoo uthibitishe haya!Ni kamati gani hiyo?

Jamani si mumeambiwa na Dr slaa, mfunge midomo mbona bado mnapayuka payuka. Bw Ben have some decensy , i trully regret to have though u to be one of the upcoming young potential politicians, I made a mistake you have proven to be pon in a game of chase, na kijana unatumika vibaya sana, wanasiasa hawawi hivyo. i warn you that yhe same ppl who r using u now will dump you very soon and u wont find any takers for your illegal servises. mungu akuokowe
 
Kiongozi wa msafara kanda ya ziwa aliyetumwa na kamati ya chadema ili kuzunguka nchi nzima kutangaza mabaya ya zitto kabwe ameumbuliwa na kikao cha madiwani na wanachadema ....

Madiwani waliuliza kwann zitto hakufukuzwa toka zamani mpaka musubiri kipindi cha uchaguzi ??

Wakafika mbali na kusema km zitto akifukuzwa basi muwalete madiwani kutoka kilimanjaro waje kushika nafasi zetu huku shinyanga

tumechoka na tabia za ubaguzi.....

Cc: Chadema wahafidhina

Ndani ya Katiba ya Chadema toleo la 2006. Katika Kanuni za Uendeshaji Kazi za Chama. Sura ya 10, Ibara ya ix, imeandikwa: "Kiongozi asijihusishe au kushiriki na vikundi vya kuchonganisha au kuzua migogoro ndani ya Uongozi wa Chama au Wanachama wake."

Na katika Katiba hiyo hiyo Sura ya 7 kuhusu kazi za Kamati Kuu, Ibara ya 7, Ibara ndogo t, imeandikwa: "Kufanya uamuzi juu ya mapendekezo ya kufukuza Mwanachama." Na Ibara ndogo v, imeandikwa: "Kumwachisha ujumbe wa Kamati Kuu mjumbe mteule ambaye ataenda kinyume na Katiba, Kanuni na Maadili au kushindwa kukidhi matakwa ya kuteuliwa kwake."
 
zitto ni kigeugeu na mpenda madaraka. hana msimamo. kama si leo kesho itajulikana. hakuna aliyefukuzwa uanachama katika chama chochote nchini tangu enzi za wakina kambona aliyeweza kuja kuwa maarufu kuliko chama. chama ni taasisi ya watu na si ya mtu. hata MM akifukuzwa atasahaulika tu. its just a matter of time.
u-snitch aliokuwa akiufanya ndani ya chama na kujivika hoja zenye nguvu kuwa wasitegemee kuwa angewazodoa maadui zake. hana lolote yule ni snitch anayefanya kazi kwa kujipendekeza kwa viongozi wa chama dola.na hii inamyumbisha misimamo na hawezi kuomba radhi ili apate huruma kwa wanaomwamini.alimwamini mkuu wa nchindio maana hakuweza kuleta upinzani kwa wabunge wa mkuu kule kwao. wakina m3 hawa pia ni wasomi lakini hata uwe msomi vipi ukiwa kama binadamu lazima ukosee na yeye kakosea pia kwa kushiriki kuandaa U-snitch. tusilete hoja kuwa ukishakuwa profesa eti kila unachowaza na kusema na kutena kuwa kinakuwa sahihi wakati wote.
 
Je unaweza
kutusaidia kupata majibu ya Changamoto hizi chini ya Utawala wa CCM.
Badala ya kuzungumzia mambo ya Zitto Kabwe ndani ya Chama chake?

1. Kuboresha Elimu
2. Kusaini mikataba safi
3. Kuwakamata walioficha mabilioni Uswiss
4. Ile sera ya kuvua Magamba ilifia wapi?
5. Madawa ya Kulevya
6. Ufisadi utakomeshwa lini?
7. Kuuawa kwa Tembo na Biashara ya Menno na pembe za Tembo
8. ununuzi wa magari ya kifahari
9. Gesi itachimbwa wazawa sio wageni tena
10. Ajira
11. Azimio la Arusha
12. Air Tanzania itarudi lini?
13. Watuhumiwa wa makosa mbalimbali mbona hawakamatwi?
14. Ripoti ya mabomu kule Arusha itatolewa kweli?
15. Wananchi wa Kigamboni hawataambiwa kuogelea tena, wala wale
watakaoshindwa kulipia umeme hawataambiwa watumie vibatari wala wale
wenye kutaka kuwekeza kwenye gesi sasa hawataambiwa kujishughuliza na
utengenezaji na uuzaji wa Juice

kwani operation sangara ilifia wapi?acha maswali tasa wewe huzai nn?kwani umezaliwa utumie umemu?lazima mbowe ang'oke cdm.
 
ndani ya katiba ya chadema toleo la 2006. Katika kanuni za uendeshaji kazi za chama. Sura ya 10, ibara ya ix, imeandikwa: "kiongozi asijihusishe au kushiriki na vikundi vya kuchonganisha au kuzua migogoro ndani ya uongozi wa chama au wanachama wake."

na katika katiba hiyo hiyo sura ya 7 kuhusu kazi za kamati kuu, ibara ya 7, ibara ndogo t, imeandikwa: "kufanya uamuzi juu ya mapendekezo ya kufukuza mwanachama." na ibara ndogo v, imeandikwa: "kumwachisha ujumbe wa kamati kuu mjumbe mteule ambaye ataenda kinyume na katiba, kanuni na maadili au kushindwa kukidhi matakwa ya kuteuliwa kwake."

hyo ibara kwanini haijamgusa mbowe aliyeunda kikosi cha upelelezi kikiongozwa na ben sa8 ???

Ben alikuwa anaongoza kundi la kuwachunguza kina mchange na shonza mbona hajaulizwa ??
 
Kiongozi wa msafara kanda ya ziwa aliyetumwa na kamati ya chadema ili kuzunguka nchi nzima kutangaza mabaya ya zitto kabwe ameumbuliwa na kikao cha madiwani na wanachadema ....

Madiwani waliuliza kwann zitto hakufukuzwa toka zamani mpaka musubiri kipindi cha uchaguzi ??

Wakafika mbali na kusema km zitto akifukuzwa basi muwalete madiwani kutoka kilimanjaro waje kushika nafasi zetu huku shinyanga

tumechoka na tabia za ubaguzi.....

Cc: Chadema wahafidhina

Mbona nyinyi mapimbi ya ccm mbona mnapenda kuzusha mambo?. John Mrema na kamanda wenzake wawili wamepita hapa shy kwa kazi moja,nayo ni kukagua zoezi zima la utekelezaji wa M4C limefikia wapi. Ndio maana jana na leo walikuwa na kikao cha kutathimini mafanikio ya M4c na wajumbe wa m4c kutoka majimbo yote ya shy. Madiwani nao leo walikuwa na kikao na katibu wa mkoa na hilo la madiwani kususia maamuzi ya kamati kuu halijajitokeza kabisa,kwa hiyo uache uzushi. NOTE:NDANI YA Chadema zzk alishajichafua mwenyewe na haihitajiki nguvu yoyote ile ya kumchafua toka ndani ya CDM!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom