John Mnyika wasaidie waliobomolewa makazi yao

Atawasaidia vipi sasa mkuu na mwenye nchi kashaamua na kawaambia mna makosa yeye Mnyika zaidi atakuja kuweka mhadhara na kupiga porojo
 
Hivi Mnyika ana mamlaka yoyote? Mwambieni huyo dikteta wenu asiwaumize wananchi waliomchagua. Yeye si ndiye anasema serikali yake inawajali wanyonge!? Au amekuwa mnafiki?
 
View attachment 595322

Wakuu taangu tubomolewe Nyumba zetu mbunge John myika hajawahi kuja kutoa pole wa kutufariji. Mimi kama mwananchi Nimeumizwa na Suala hili.

Kama Mpiga Kura sifurahii tabia hii iliyofanywa na John Mnyika kututelekeza wakati wa uchaguzi huwa mpole na Hutembea kwa mguu kata zote kuomba kura.

Mbunge wa Mnyika naomba utusaidie.
basi wapongeze waliowabomolea nyumba zenu
 
View attachment 595322

Wakuu taangu tubomolewe Nyumba zetu mbunge John myika hajawahi kuja kutoa pole wa kutufariji. Mimi kama mwananchi Nimeumizwa na Suala hili.

Kama Mpiga Kura sifurahii tabia hii iliyofanywa na John Mnyika kututelekeza wakati wa uchaguzi huwa mpole na Hutembea kwa mguu kata zote kuomba kura.

Mbunge wa Mnyika naomba utusaidie.
CCM imekosa mwelekeo kutoka kwa akina Polepole mpaka watu wa propaganda za mitandaoni!
 
Wewe si ndie kila siku humu jukwaani huwa unapita pita huku ukijinasibu kuwapamba hao wabomoaji mkuu.
No way out pambana na hari yako mkuu
 
View attachment 595322

Wakuu taangu tubomolewe Nyumba zetu mbunge John myika hajawahi kuja kutoa pole wa kutufariji. Mimi kama mwananchi Nimeumizwa na Suala hili.

Kama Mpiga Kura sifurahii tabia hii iliyofanywa na John Mnyika kututelekeza wakati wa uchaguzi huwa mpole na Hutembea kwa mguu kata zote kuomba kura.

Mbunge wa Mnyika naomba utusaidie.

Hujajipanga bado,nadhani maneno haya ungemwambia Mwenyekiti wako wa Chama Cha Mauaji aliyetoa idhini ya kubomoa nyumba za watanzania.

Tuachie Mbunge wetu.
 
View attachment 595322

Wakuu taangu tubomolewe Nyumba zetu mbunge John myika hajawahi kuja kutoa pole wa kutufariji. Mimi kama mwananchi Nimeumizwa na Suala hili.

Kama Mpiga Kura sifurahii tabia hii iliyofanywa na John Mnyika kututelekeza wakati wa uchaguzi huwa mpole na Hutembea kwa mguu kata zote kuomba kura.

Mbunge wa Mnyika naomba utusaidie.
Vijana wa Lumumba na propaganda zilizopitwa na wakati.
 
View attachment 595322

Wakuu taangu tubomolewe Nyumba zetu mbunge John myika hajawahi kuja kutoa pole wa kutufariji. Mimi kama mwananchi Nimeumizwa na Suala hili.

Kama Mpiga Kura sifurahii tabia hii iliyofanywa na John Mnyika kututelekeza wakati wa uchaguzi huwa mpole na Hutembea kwa mguu kata zote kuomba kura.

Mbunge wa Mnyika naomba utusaidie.

Hivi mbomoaji alipigiwa kura na nani?
 
Yani kama angefanya hivyo saizi angekua yupo central kwa kosa la uchochezi bora hata alivokaa kimya tu
 
Atoe pole kwani ni maafa. Labda wote tukabaliane lile jitu magogoni mi maafa kwa taifa hapo sawa
 
tumebomolewa kwa ajili ya maendeleo yetu site.
Jambo la msingi tunataka kuona kweli Barbara nzuri zinajengwa, stendi ya kisasa inajengwa, hayo ndio tunataka tuyaone.
 
Hivi unajua ni marangapi ameenda mahakamni na wakapewa zuio , lakini Tanroads wamekataa kutekeleza, mimi ushahuri wangu wajipange waje kudai fgidia tu huko mbeleni.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom