john mnyika wa CHADEMA alipata Div ngapi?

1. It does not matter. Mchizi wangu Ngolo alisema "kufeli kimasomo si kufeli kimaisha"

2.Kwa kumbukumbu zangu za harakaharaka, na washashi wanaweza kunisahihisha, Mnyika ni phenomena fulani katika mitihani ya bongo huwa zinatokea every few years, jamaa alipata straight A's .Jamaa kaanza kuongoza kwenye mitihani shuleni tangu darasa la saba, kama nakumbuka sawa ndiye aliyeongoza mkoa Dar . Akaendelea alipata Div 1.7 form four, which if I remember correctly is straight A's, mwanaharamu huyu alipiga A tisa (9), sasa kama hiyo ndiyo zero kwenu nionyeshe one ikoje.

Basi bongo michosho tu lakini uwongo kijana kwa mambo ya academics tu ni kifaa.

Give credit where it is due, mitihani ya bongo inavyotungwa kukomoana mtu akipiga 1.7 ni kichwa.

Nitashangaa kama atakuwa na zero, Mnyika si zero material, quite the opposite.
 
Kupiga A saba na mitihani yenyewe ya bongo ku leak nje nje na ma tution kibao,si kigezo cha kusema Mnyika ni kichwa.Na kidato cha 6 alipata division gani?Manake kila siku hadithi za As za form 4 tu,vipi form 6 nako?
Nauliza kwa sababu kuna washkaji zangu wengi tu walinyuka ma A A kibao form 4 lakini tulipokuja 6 walichemka vibaya sana.Na kuna wengine walipiga point 3/4 form six,lakini chuo ndiyo walikuwa wanaongoza kwa ku disco.
 
Kwa hiyo mkuu p53 na wewe matokeo yako yana utata kwa vile mitihani ina leak?
 
John Mnyika ni mbunge wa ubungo mpende msipende!
mtake msitake, acheni siasa za kuchafuana!
 
Mkuu kwanza ungeniuliza nimesomea wapi halafu ndiyo ungenichapa hilo swali!

hilo swali nililokuuliza lina secondary objective hiyo ... umeeleza kinachotokea kwenye matokeo ya form four, six, hadi mlimani. Umejuaje hayo? na kama unayajua hivyo, unahusika vipi? hence -- na wewe matokeo yako ni feki?
 
Kupiga A saba na mitihani yenyewe ya bongo ku leak nje nje na ma tution kibao,si kigezo cha kusema Mnyika ni kichwa.Na kidato cha 6 alipata division gani?Manake kila siku hadithi za As za form 4 tu,vipi form 6 nako?
Nauliza kwa sababu kuna washkaji zangu wengi tu walinyuka ma A A kibao form 4 lakini tulipokuja 6 walichemka vibaya sana.Na kuna wengine walipiga point 3/4 form six,lakini chuo ndiyo walikuwa wanaongoza kwa ku disco.

Wabongo tatizo letu ndilo hili hili, kuangalia sana paper credentials na superficialities, ndiyo mana watu mpaka leo wanaongelea electability ya Kikwete kwa sababu ni so called "handsome" despite Nyerere kuwapiga shule.

Rais Harry S. Truman wa US hakuwa hata na college degree,lakini aliliongoza taifa lake vizuri, wakati wa vita nevertheless. John Major naye kaenda kuwa PM wa Uingereza bila ya college degree, leo hii mtu usipokuwa na degree naamini unakuwa disqualified, sasa tutawapata wapi kina Evo Morales wetu? Ina maana mtu mwenye enterpreneurial genius kama ya Bill Gates hawezi kuwa rais bongo kwa sababu tu hana degree, kunawengine wanaona degrees/ academics zinawapotezea muda tu, nao wasiwe na eligibility?

Swala muhimu hapa ni track record, Mnyika kafanya nini katika miaka yake ya kazi CHADEMA. Naamini mwenyewe ni member humu anaweza kuja na waraka wa kujibu kuhusu kazi.Vitu hujulikana uzuri wake kwa matokeo ya kazi, sio kwa paper qualifications ambazo mwenyewe ushaanza kuzikandya kwamba papers zinaleak.

Uki dispute/ tarnish matokeo ya form four kwamba paper zinaleak, basi inamaana hata kwa papers za form six paper si kigezo.

Let's focus on kazi, amefanya kazi gani? Haya mambo ya papers papers Tanzania kuna papers bwana? Papers zenyewe hazina standars wala syllabus, akija Mungai anabadili vyake akija Sitta anapangua hivi, kuna papers huko bongo zaidi ya kukomoana tu?

Ndiyo nyie nyie anakuja tapeli kavaa suti kubwa anaongea "kizungu" kigumu, ananukia uturi maridadi, mnamfungulia milango yote anaiba kila kitu.

Akija an ascetic intellectual shabbili dressed anayeweza kuwasaidia mnamfukuza. Kila kitu watu wanaangalia the superficial, wanaona the shallow bila kutaka kujua the deep.
 
Kupiga A saba na mitihani yenyewe ya bongo ku leak nje nje na ma tution kibao,si kigezo cha kusema Mnyika ni kichwa.Na kidato cha 6 alipata division gani?Manake kila siku hadithi za As za form 4 tu,vipi form 6 nako?
Nauliza kwa sababu kuna washkaji zangu wengi tu walinyuka ma A A kibao form 4 lakini tulipokuja 6 walichemka vibaya sana.Na kuna wengine walipiga point 3/4 form six,lakini chuo ndiyo walikuwa wanaongoza kwa ku disco.

Mkuu p53... much as i agree with you kwamba kuna watu wanapata mitihani na kuwa na scores wasizo-deserve, it is impossible kwa kilaza kupata 1 ya point saba form four hata akilala na mitihani wiki moja!!!

even the mediocre huwa wanaishia div 1 ya point 12-15 baada ya kukesha na pepa zao

Lets give each other credits where and when it matters most and in this case John deserves some credits

I am glad he is still our active member
 
hilo swali nililokuuliza lina secondary objective hiyo ... umeeleza kinachotokea kwenye matokeo ya form four, six, hadi mlimani. Umejuaje hayo? na kama unayajua hivyo, unahusika vipi? hence -- na wewe matokeo yako ni feki?

Ushaanza ligi ya kombe la mbuzi kama kawaida yako!
Hivi kuna siri kuwa mitihani bongo ina leak?Ni lazima uwe umesoma bongo tu ndipo ujue kwamba mitihani bongo ina leak?Mara ngapi vyombo vya habari vimetangaza kuvuja mitihani ya taifa?Mara ngapi mitihani ya taifa imerudiwa au kubadilishwa kwa sababu iliyotangulia ilivuja?
 
Kupiga A saba na mitihani yenyewe ya bongo ku leak nje nje na ma tution kibao,si kigezo cha kusema Mnyika ni kichwa.Na kidato cha 6 alipata division gani?Manake kila siku hadithi za As za form 4 tu,vipi form 6 nako?
Nauliza kwa sababu kuna washkaji zangu wengi tu walinyuka ma A A kibao form 4 lakini tulipokuja 6 walichemka vibaya sana.Na kuna wengine walipiga point 3/4 form six,lakini chuo ndiyo walikuwa wanaongoza kwa ku disco.

Ahh hizi ndio hadithi ya sizitaki mbichi hizi.Kama kupiga A saba ni rahisi katika zama hizi za mitihani ku-leak mbona hatuzioni hizo As za kumwaga?Kumbuka,kupewa mtihani au kuuona mtihani kabla ya kuingia exam room hakumaanishi kichwa panzi atapata A.Sanasana ataepuka kupata Fs.Kwani umeambiwa kuona mtihani ni sawa na kuona majibu?
 
Ushaanza ligi ya kombe la mbuzi kama kawaida yako!

Kama unaona kuwa hii ni ligi ya kombe la mbuzi, basi mimi naenda kununua njumu na jezi maana game ya kwanza ndio imeanza hivi.

Hivi kuna siri kuwa mitihani bongo ina leak?Ni lazima uwe umesoma bongo tu ndipo ujue kwamba mitihani bongo ina leak?Mara ngapi vyombo vya habari vimetangaza kuvuja mitihani ya taifa?Mara ngapi mitihani ya taifa imerudiwa au kubadilishwa kwa sababu iliyotangulia ilivuja?

Hakuna "siri" kuwa mitihani inavuja lakini hiyo siri haijafanya matokeo ya mitihani yawe feki kwa vile wajanja wachache walipata mtihani. Umeandika kaa vile una habari za ndani za wizi wa mitihani bongo hence swali langu kwako - matokeo yako nawe ni feki?

BTW - unamkumbuka aliyeandika hiki hapa chini?

Nauliza kwa sababu kuna washkaji zangu wengi tu walinyuka ma A A kibao form 4 lakini tulipokuja 6 walichemka vibaya sana.Na kuna wengine walipiga point 3/4 form six,lakini chuo ndiyo walikuwa wanaongoza kwa ku disco.
 
Kupiga A saba na mitihani yenyewe ya bongo ku leak nje nje na ma tution kibao,si kigezo cha kusema Mnyika ni kichwa.Na kidato cha 6 alipata division gani?Manake kila siku hadithi za As za form 4 tu,vipi form 6 nako?
Nauliza kwa sababu kuna washkaji zangu wengi tu walinyuka ma A A kibao form 4 lakini tulipokuja 6 walichemka vibaya sana.Na kuna wengine walipiga point 3/4 form six,lakini chuo ndiyo walikuwa wanaongoza kwa ku disco.

Duuuh hii kali ya leo! Kila mtu basi angekuwa anapata DIV 1.....! unaweza kutoa statistics kwa unachokisema?
 
Back
Top Bottom