John Mnyika popote ulipoitisha press conference haraka sana

The situation is very terrible,Cha msingi si kuinua mikono Tena na kuomba dua Bali Ni kubadilisha staili,staili ambayo Kila mtu hataweza kuisahau katika maisha yake.mnyika ongoza jahazi,Machinga wanasubiri betri ichomolewe .
Pale wamachinga wanapotumiwa kama vikaragosi na wanasiasa, alianza Jiwe, Sasa imekuwa zamu yenu kuwatumia?
 
The situation is very terrible,Cha msingi si kuinua mikono Tena na kuomba dua Bali Ni kubadilisha staili,staili ambayo Kila mtu hataweza kuisahau katika maisha yake.mnyika ongoza jahazi,Machinga wanasubiri betri ichomolewe .
🤣🤣Ujinga kweli mzigo....hivi uko ndotoni?!!

Watanzania hawapendi hizo bughdha zenu za SIASA KOKO....
 
Hivi viatu vinahitaji Lissu, Lema, Heche, Mdude na watu wa namna hiyo waliokwisha kubatizwa kwa moto.
 
Sina huo ujinga,wewe ukishika madaraka itanisaidia nini mimi kupata ugali wa wanangu?

Front ipi? Ya kuchangia mitandaoni au?
Hata katika harakati za kupigania uhuru Nyerere alikumbana na watanganyika wenye mawazo kama yako.
 
Me nawahakikishia wakimfunga Mbowe kinanuka Tena kitanuka kweli mpaka wamuachie .

Sioni Polisi wa kuzuia hili wacha wajichanganye kinuke
Kinanuka wapi na kinini?,the same story from the same people! ,Huyo lazima ale mvua nyingi na hakuna wa kuandamana!!?
 
Nilichokielewa, katika hii 'content' ni kuwa inahitajika 'extra force' kukabiliana na ukiukwaji mkubwa wa KATIBA unauvunjwa na Hangaya.

Machinga wawe kichocheo tu, wengine tufuate.
🤣🤣Acha uzwazwa ha ha ha

Siku ile Tundu Lissu na wewe mkatuambia mtatokea pale UBUNGO kuanzisha maandamano....wapiii hamkuonekana zaidi ya wale Askari vijana wenzetu wakaanza kuziimba zile NYIMBO...."uko wapi mchumba njoo,mwenzio naumia rohooo"🎼🎵📢📯
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom