CattleRustler
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 1,055
- 467
Muhongo aliahidi mradi Wa gas ikikamilika umeme utashuka Mara dufu salsa wanapandisha tena hivi gas yetu na mafuta yanayotoka Saudi Arabi bei ni sawa?
Nimesikia kiongozi wa Tanesco akisema itabidi watumie mafuta kwasababu maji yamepungua kwenye mabwawa. Sasa kwa ini wasitumie gas badala ya mafuta kutoka nje. Yaani uongo walio tumia kuingia mikataba ya uzalishaji umeme ndio wanao utumia kutudanganya tena. Alafu tena watuwekea na sheria chafi za habari na mitandao ili watu wasilalamike