John Mnyika(Mb) akumbushia ahadi ya Rais Magufuli juu ya uchunguzi wa shambulio la Lissu. Aomba wachunguzi wa kimataifa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,609
218,032
Instagram media - B2H4JyenZBh.jpg
 
Mbona hajamkumbusha mfalme mbowe kuitisha uchaguzi ndani ya chama? Mbowe anapiga danadana uchaguzi mbona hajasema kitu. Unafiki ni dhambi.
Uhai wa mtu unalingana dhamani sawa na cheo cha mtu?
Hivi siku hizi Watanzania mmelishwa nini? Yaani utu inatoweka harafu madaraka ndo unayaweka mbele..
Uwenyekiti wa chama Unaingia je kwenye shambulio la Lissu?.
Nitumie nafasi hii pia kuwapa pole wazazi wako kwa kuzaa kilaza kama wewe.
 
Mbona hajamkumbusha mfalme mbowe kuitisha uchaguzi ndani ya chama? Mbowe anapiga danadana uchaguzi mbona hajasema kitu. Unafiki ni dhambi.
Mod waongeze emoji/ reaction ya dole LA kati kwa comments za kkiboya kama hiyo ya kwako.
Maana haiwezekani tunaongelea issue za misitu ya tao LA mashariki wewe unatuletea habari za xenophobia
 
Uchunguzi wa nje ungehitajika kuhalalisha tu.

Hili lilivyokaa CHADEMA wenyewe wangeamua kulifanyia kazi wakafanya uchunguzi wa chini chini wangekuwa kazi wameimaliza bila ya shaka, na kubaki kusubiri tu wakati mwafaka wa kutoa matokeo ya uchunguzi wao.

Wapo wataalam chungu nzima hata hapa nyumbani ambao wangeweza kuifanya kazi hiyo kwa makini na ufanisi mkubwa bila ya kuwaamsha wahusika wa tukio.

Hata kama CHADEMA wangetaka kuwatumia watu wa nje kama washauri katika uchunguzi huo ingesaidia sana.
 
Pascal Mayalla a.k.a PASKALI ndio mchunguzi rasmi wa tukio hilo, full stop
Kwa hiyo mimi ni kijana wa Sirro?.
Nilichosema mimi kama mwandishi wa habari wa IJ, kama polisi wameshindwa kuwabaini hao wasiojulikana, sisi watu wa media za IJ, tunaweza kuwasaidia, na nikaweka mabandiko mawili ya jinsi ya kusaidia,



P
 
Back
Top Bottom