John Magufuli: Nitajenga barabara sita toka Ubungo hadi Chalinze, Je, Ni Ubungo ipi? Shekilango au?

Asa'rile

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
438
120
John Pombe Magufuli, wakati wa ufunguzi au uzinduzi wa kampeni hapo jangwani, pia alitamka maneno haya;"Nitajenga barabara sita toka Ubungo hadi Chalinze. Swali ni Je, hiyo barabara itanzia wapi? Shekilango au mataa au UBT?
Maana maeneo aliyoyazungumzia kwamba atamwaga flyover ya goorfa sita! ni Tazara na Ubungo !!
 
Huo ni mpango wa serikali ya kikoloni ya kijerumani mwaka 1886 kuwa ifikapo 1986 tungekuwa na hizo barabara sita. Na si Morogoro Road pekee bali na Kilwa Road na Bagamoyo road zote zingekuwa njia sita. Kilwa road ni hadi Mkuranga. Kwa hiyo tumechelewa sana wandugu. Wajerumani hawakupanga flyovers, nadhani huu ni usanii, flyover kwenda wapi wakati huko mbele hapapitiki.
 
Back
Top Bottom