Hapa Mr. Chin tutakutuliza tu na posts zako za kuunga unga. Hapa sio mahala pake kwani member wengi hapa wanaupeo mkubwa wa kufikiria mambo. Watakuudhi na mwisho wa siku utaishia kutukana tu kama wale walezi wenu. Kwanini Usijaribu kupost kwa Issa Michuzi kule nadhani wana changia watu waaina zote zote.
asipo jishtukia hapa atakua na utindio wa ubongo