John Magufuli Amezaliwa Tarehe 29 Mwezi wa 10 na ataapishwa Tarehe 29 Mwezi wa 10

Hapa Mr. Chin tutakutuliza tu na posts zako za kuunga unga. Hapa sio mahala pake kwani member wengi hapa wanaupeo mkubwa wa kufikiria mambo. Watakuudhi na mwisho wa siku utaishia kutukana tu kama wale walezi wenu. Kwanini Usijaribu kupost kwa Issa Michuzi kule nadhani wana changia watu waaina zote zote.

asipo jishtukia hapa atakua na utindio wa ubongo
 
Amen.

Asante kwa neno la kinabii. Na iwe hivyo kwa UTUKUFU wa MUNGU.

Queen Esther

IMG_0300.JPG

Rais Mtarajiwa ataapishwa siku ya kuzaliwa kwake. Hii haijawai tokea Duniani.
 
IMG_0300.JPG

Rais Mtarajiwa ataapishwa siku ya kuzaliwa kwake. Hii haijawai tokea Duniani.

bahati nzuri au mbaya,Tanzania haina historia ya kuweka historia duniani,hivyo msikae kutegemea miujiza ya kilamli kama hii,nina imani Magufuli ni kiongozi mwenye upeo na mtazamo,anachotakiwa sasa ni kutumia upeo wake wa kisiasa kuwashawishi watu wampe ushindi,na asibaki kutegemea bendera imbebe,bendera iache ibaki kwenye mlingoti wake ifuate upepo wake,yeye abaki kueneza sera zake,siyo matusi,kejeli wala ahadi ambazo kicalculator ni invalid.huo ndiyo ushauri wetu kwenu siye malofa na wapumbavu
 
historia inapendelea KIFO kwa siku ya kuzaliwa, wewe unaetaka historia mpya ni mpumbavu na lofa (kwa hisani ya watu wa lupaso)

Chuki haikusaidii kitu na hujui kitu wewe mfuata Mkumbo.
 
Wahenga wanasema ukiwa mwongo usiwe msahaulifu
Mwaka juzi tarehe 5 November 2015 wakati bwana huyu anaapishwa tulilishwa maneno kwamba jamaa alizaliwa tar 5/11/1959 na kuonekana mtu mwenye bahati sana na kashushwa na Mungu kwa maana tarehe na mwezi aliozaliwa ndio tarehe na mwezi alioapishwa kuwa rais wa Tanzania
Sasa na Leo mnasema Magufuli kazaliwa tar 29/10/1959 hii manake nini?
Au ndo tunazidi kuzalisha taifa la uongo uongo tu
Mnijuze Magufuli kazaliwa Mara 2 ndani ya mwaka Mmoja?
OVA
 
Mtu feki ni feki tu....phd feki hadi anamtetea na kumlinda kwa nguvu bashite zero na feki
 
Kuna kiseredi kinaelezea sana ujio wake nchini..! Kitafute ujionee
 
Back
Top Bottom