John Magufuli Amezaliwa Tarehe 29 Mwezi wa 10 na ataapishwa Tarehe 29 Mwezi wa 10

Mr Chin

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,625
1,024
IMG_0300.JPG

Rais Mtarajiwa ataapishwa siku ya kuzaliwa kwake. Hii haijawai tokea Duniani.
 
Mpaka tarehe 30 October NEC ya ccm itakuwa haijatangaza matokeo ya mshindi wa Urais....
Labda kama mtatumia "maarifa na akili zenu" kulazimisha historia...

Anyway nimechangia hivo kwa niaba ya "wapumbavu na malofa" wenzangu...
 
Unaanza kupanic
 
Pengine wanajipa hiyo over confidence kwa kuwa Nape wao alishautangazia Ulimwengu kuwa by hooks and crooks ni lazima CCM ishinde, hata kama watalazimika kufunga goli la mkono ili wamwapishe huyo Magufuli wao kwenye tarehe hiyo ya birthday yake.
 
Bogus ......
 
Tarehe tamu hiyo kumbu kumbu nzuri, Mungu baba asimamie uzima.
Labda uzungumzie kutangazwa mshindi lakini si kuapishwa.... Au wewe ni mgeni kwenye mambo haya...??

Karibu na hizo tarehe za birthday ya Magufuli ataweka historia mpya... Historia ya kuwa mgombea wa kwanza wa ccm kushindwa uchaguzi...
Atapigwa na butwaa.... Na atabaki anasimulia idadi ya kilometa za bara bara alizotembea kuja kuukosa urais tarehe 29/10/2015...!!!

Mark your calendars...
 
Hapa Mr. Chin tutakutuliza tu na posts zako za kuunga unga. Hapa sio mahala pake kwani member wengi hapa wanaupeo mkubwa wa kufikiria mambo. Watakuudhi na mwisho wa siku utaishia kutukana tu kama wale walezi wenu. Kwanini Usijaribu kupost kwa Issa Michuzi kule nadhani wana changia watu waaina zote zote.
 
Is this guy a LION?
only lions are king
Good kings
Born king die kings

If not a lion
Not a good king in the making.
Unfortunately I am
Very sorry my dear
This king maker is making differently this time.
What do king maker forget is, "they are not kings"
 
Labda uzungumzie kutangazwa mshindi lakini si kuapishwa.... Au wewe ni mgeni kwenye mambo haya...??

Karibu na hizo tarehe za birthday ya Magufuli ataweka historia mpya... Historia ya kuwa mgombea wa kwanza wa ccm kushindwa uchaguzi...
Atapigwa na butwaa.... Na atabaki anasimulia idadi ya kilometa za bara bara alizotembea kuja kuukosa urais tarehe 29/10/2015...!!!

Mark your calendars...

Muulize EL lini ataanza kampeni ? Teyari amesha pigwa na butwaa.
 
Nimesema kupanic

Sawa Mr Chin

Kupanic umelitohoa kutoka kwenye neno la Kiingereza "PANIC" siyo... Au kupanic ni neno la Kikwere au Kisukuma au Kiccm..??
Basi kama ni Kiingereza ebu nijulishe maana yake....
 
historia inapendelea KIFO kwa siku ya kuzaliwa, wewe unaetaka historia mpya ni mpumbavu na lofa (kwa hisani ya watu wa lupaso)
 
Back
Top Bottom