You have issues and you need to see a mental health counselorRaisi wa imbecile a.k.a ccm
Ndio tunaisubiria KiongoziTarehe tamu hiyo kumbu kumbu nzuri, Mungu baba asimamie uzima.
Mpaka tarehe 30 October NEC ya ccm itakuwa haijatangaza matokeo ya mshindi wa Urais....
Labda kama mtatumia "maarifa na akili zenu" kulazimisha historia...
Anyway nimechangia hivo kwa niaba ya "wapumbavu na malofa" wenzangu...
Pengine wanajipa hiyo over confidence kwa kuwa Nape wao alishautangazia Ulimwengu kuwa by hooks and crooks ni lazima CCM ishinde, hata kama watalazimika kufunga goli la mkono ili wamwapishe huyo Magufuli wao kwenye tarehe hiyo ya birthday yake.Mpaka tarehe 30 October NEC ya ccm itakuwa haijatangaza matokeo ya mshindi wa Urais....
Labda kama mtatumia "maarifa na akili zenu" kulazimisha historia...
Anyway nimechangia hivo kwa niaba ya "wapumbavu na malofa" wenzangu...
Unajua maana ya neno panic....??Unaanza kupanic
Unajua maana ya neno panic....??
Bogus ......Pengine wanajipa hiyo over confidence kwa kuwa Nape wao alishautangazia Ulimwengu kuwa by hooks and crooks ni lazima CCM ishinde, hata kama watalazimika kufunga goli la mkono ili wamwapishe huyo Magufuli wao kwenye tarehe hiyo ya birthday yake.
Labda uzungumzie kutangazwa mshindi lakini si kuapishwa.... Au wewe ni mgeni kwenye mambo haya...??Tarehe tamu hiyo kumbu kumbu nzuri, Mungu baba asimamie uzima.
Labda uzungumzie kutangazwa mshindi lakini si kuapishwa.... Au wewe ni mgeni kwenye mambo haya...??
Karibu na hizo tarehe za birthday ya Magufuli ataweka historia mpya... Historia ya kuwa mgombea wa kwanza wa ccm kushindwa uchaguzi...
Atapigwa na butwaa.... Na atabaki anasimulia idadi ya kilometa za bara bara alizotembea kuja kuukosa urais tarehe 29/10/2015...!!!
Mark your calendars...
Nimesema kupanic
Rais Mtarajiwa ataapishwa siku ya kuzaliwa kwake. Hii haijawai tokea Duniani.