John Lubungo kauawa???

Guys death is death, it meant 2 happened weather we like or not. In our country hakuna umafia wa kiasi hicho. Mr Lubongo passed away, lets give him a peaceful burial service na tuache majungu. Media people, ur job is to pass all de information to public at large na sio kuchokonoa scandals. Tuache polizei wafanye kazi yao. Rest in peace Mr. Lubungo

"Go alone if you want to be fast, but go together if you want to get there
 
Huu utaratibu wetu wabongo wa kukubaliana na kila kitu utaisha lini? I hate this attitude ya 'hewala bwana'. Hii article ina information nyeti ambazo polisi lazima wa act on them, kama kuna suspicion yoyote ni lazima uchunguzi ufanyike.Hii haiwezi kuwa 'majungu' kama unavyoiita wewe.Its too early to rule anything out.
 
N-handsome
Polisi nao ni binadamu wanahitaji msaada wa wananchi na ndo maana wameanzisha ushirikiano wa polisi jamii.Hivi hukumbuki ya Zombe alijitutumua kuwa wanajua mbinu zote za kuwajua watuhumiwa,na waliouwawa ni majambazi na leo hii yupo hapo Ukonga akinyea ndoo?Yah man, do not boil an empty pot expecting to get syrup.Kama tuna duku duku lazima tuna haki ya kuuliza
 
hivi kwa wanachama wote wa JF,kuna mtu ameshawahi kufika kwenye vituo vyetu vya polisi,hasa pale centrol na kujionea tu mandhari ya hivi vituo vyetu.au hata pale makao makuu, hebu siku moja jaribu kutembelea pale ili ujionee mwenyewe njisi palivyo ndio utajua wapi tupo ktk dunia ya leo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom