Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh una umri gani?Simfahamu. Apumzike kwa amani. Na familia na wapendwa wake Mungu awape5faraja na nguvu wakati huu mgumu wanapitia.
Zaidi ni wanaumeJAMANI HAWA WATU WANAKUFA NA NINI??MBONA VIONGOZI HASA WALE WASTAAFU NA WENYE UMRI MKUBWA WANAONDOKA SANA!???
Waulize India wachanja mapeeema lakini delta aliupiga mwingi tuuu.Lazima tutambua saa na majira ya sasa, tumrudie Mungu, tuombee bila kuchoka na yeye atatusikilizawaka jana tuliomba sasa hivi tinaona kuomba ni ushamba eti siyo sayansi.Alituchelewesha sana. Chanjo tungeanza nazo mapema wazee hawa wangekuwa hai leo. Tunaendelea kupoteza watu leo kwa ajili yake.
Umenisoma ewe kajamaa?
Mshana Jr , hapa tunaomboleza msiba wa John Mwakipesile, sio Mramba kaka.Born: 15th May, 1940. Departed: 17th August, 2021. With great sadness, the Mramba’s Family hereby announce the passage of our beloved father, Basil Pesambili Mramba; A life so beautifully lived deserves to be beautifully remembered. Mzee succumbed to illness at the Regency Medical Center earlier this morning, 17th August; 2021. Given the pandemic situation, the family accepts your sympathies and prayers and asks for privacy. We will receive visits from Family Members ONLY at his residence on Mawenzi Road, Oysterbay. Further information and program will be shared at a later stage. The Lord has given, and the Lord has taken away; May God rest his soul in eternal peace. Amen. Godfrey B. Mramba.
Waulize India wachanja mapeeema lakini delta aliupiga mwingi tuuu.Lazima tutambua saa na majira ya sasa, tumrudie Mungu, tuombee bila kuchoka na yeye atatusikilizawaka jana tuliomba sasa hivi tinaona kuomba ni ushamba eti siyo sayansi.
Huyu ndo unasa vifo vingi? Tupo 60 m lazima vifo viwepo.Aise.. Vifo vimekuwa vingi.
Daaah,hii misemo ilitawala sana enzi za mwendazake!
India wameumudu ugonjwa baada ya kuwekeza zaidi kwenye kuchanjwa watu wao.
View attachment 1895401
Kwenye zoezi hilo walilazimika kuacha kuacha kusafirisha chanjo nje.
Danganyeni wasiojua.
Akili yako haikutoshi kanisa.Huyu ndo unasa vifo vingi? Tupo 60 m lazima vifo viwepo.
Huna habari na kifo cha Jiwe kule Chato?Mkuu Mpaka sasa Ni vingapi Kati ya ngapi,ulishaona jiwe linakufa
Aliyekuwa mbunge wa Kyela na baadae mkuu wa mkoa wa Mbeya mzee Mwakipesile amefariki dunia
Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Mbeya, John Mwakipesile amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Agosti 17, 2021. Marehemu Mwakipesile aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kyela (1995 hadi 2005) na kisha kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kuanzia mwaka 2006 hadi alipostaafu mwaka 2011.
RIP
====
Mbeya. Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwenye Serikali ya awamu ya nne, John Mwakipesile amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne Agosti 17, 2021.
Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya Simu, Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Ismail Mlawa amesema wamepokea taarifa za msiba huo kwa masikitiko makubwa.
"Tumepata taarifa na sasa naelekea nyumbani kwa marehemu kujua taarifa zaidi na nitaweza kukuunganisha na familia ya marehemu kwani mimi sio mzungumzaji wa familia," amesema Mlawa.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jacob Mwakasole naye amethibitisha kupokea taarifa za msiba wa Mwakipesile na kwamba ni pigo kubwa kwao. Ameongeza kuwa hakuwa na taarifa za kuugua kwa Mwakipesile.
"Ni kweli nimepokea taarifa za msiba huo mkubwa wa baba yetu na kada wa chama. Chama tunataratibu zetu, tutashirikiana na familia ya marehemu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo kumsitili marehemu Mwakipesile,” amesema mwenyekiti huyo.
Princes Mwaihojo, mdau wa maendeleo Mkoa wa Mbeya amesema watamkumbuka marehemu kwa namna alivyoupigania mkoa huo kuvutia na kupata wawekezaji katika sekta mbalimbali za uchumi.
Chanzo: Gazeti Mwananchi
Rip John.Aliyekuwa mbunge wa Kyela na baadae mkuu wa mkoa wa Mbeya mzee Mwakipesile amefariki dunia

Muno munoAise.. Vifo vimekuwa vingi.
Kina
Kinachosaidia sasa hata waliochanjwa wa poneapo ni herd immunity tu and nothing else. JPM akili kubwa aliliona hili bali hamtaki kukiri kwa vile kulikuwa na agenda ya kumpaka oil chafu iliyoshindwa kwa aibu kuu.