John Heche: Nchi imechukua mkondo wa utawala wa hovyo

Niliwahi kuandika humu huyu dikteta uchwara ni mtu hatari sana kwa mshikamano wa Taifa letu. Maneno yangu yanakuwa kweli na ushahidi uko chungu nzima.

Na hutamsikia yeye, Mwigulu, Majaliwa au yeyote yule ndani ya Serikali au MACCM akilaani mashambulizi haya na kutaka uchunguzi ufanyike haraka sana.

Chadema wakianza kwenda mikutanoni na mapanga, visu, marungu, mishale etc ili kujihami patakalika kweli? Kama uchaguzi wa Madiwani tu ni hivi hiyo 2020 si Watanzania wengi watapoteza maisha yao!?

Amejuaje ni vijana wa CCM na hata picha kashindwa kuwapiga!?

Kama ni wa Chadema wamepanga wafanye maovu kama kawaida na kuisingizia CCM.. anafikiri nani atakubali uongo huo

Inaelekea Chadema ilipanga kutenda haya haiwezekani fujo hizi zote zitokeee wakati huu zaidi ya kwamba wanasaka kura za huruma kwa kipupwu na uoga kuwa CCM imeimarika na watapigwa chini..

Mwisho wa siku huzi drama za kutunga na kutenda na kuandika uongo na wao kushindwa hata kuwakamata na kuwapeleka polisi hao wanaowasingizia.. au kuita polisi waende kwenye maeneo.. basi hata matamko ya polisi hamuyaweki kwa sababu hamna cha kutipoti.. watawakamata wenzenu..
Chadema watazidi kulia tu

Upinzani wa ovyo kabisa kuwahi kutokea nchini kwa wanayofanya awamu hii.. ovyoooo kabisa yaani ovyoooo.. wagomvi.. waongo.. wanauana.. wanapigana risasi.. wanadanganya.. wanatamaa.. wanakula pesa za mgonjwa za walla hoi waliochanga.. wanalia lia.. n.k.
yaani kila ubomu ni wao

Magufuli hongera Baba kwa kuwatoa hawa watu pangoni.. tunajionea walivyo wa kiwango cha kututia aibu duniani kwa kuwa upinzani bomuuuuu
 
Mpaka damu imwagige ndio hamu yao itapungua, maana huo uchokozi wa wazi kabisa ili wapate sababu ya kuua watu wasio.
 
Halafu huyu uchwara anataka watu wamuheshimu!!

HARARE – Movement for Democratic Change leader Morgan Tsvangirai yesterday said new Zimbabwe President Emmerson Mnangagwa has to work very hard to change his character but he has very little choice.

In an interview with CNN in which he was asked whether Mnangagwa would meet his promises to bring about democracy, create jobs and revamp the country’s economy, Tsvangirai responded:

“Let me say that knowing Emmerson Mnangagwa, his character, he will have to work very hard to change his character so that he can define the future of the country and define his future as a democratic, as a reformer that I doubt. But at the same time he knows that he cannot continue on the same path Mugabe has travelled and still expect the nation to respect him.”
 
Amejuaje ni vijana wa CCM na hata picha kashindwa kuwapiga!?

Kama ni wa Chadema wamepanga wafanye maovu kama kawaida na kuisingizia CCM.. anafikiri nani atakubali uongo huo

Inaelekea Chadema ilipanga kutenda haya haiwezekani fujo hizi zote zitokeee wakati huu zaidi ya kwamba wanasaka kura za huruma kwa kipupwu na uoga kuwa CCM imeimarika na watapigwa chini..

Mwisho wa siku huzi drama za kutunga na kutenda na kuandika uongo na wao kushindwa hata kuwakamata na kuwapeleka polisi hao wanaowasingizia.. au kuita polisi waende kwenye maeneo.. basi hata matamko ya polisi hamuyaweki kwa sababu hamna cha kutipoti.. watawakamata wenzenu..
Chadema watazidi kulia tu

Upinzani wa ovyo kabisa kuwahi kutokea nchini kwa wanayofanya awamu hii.. ovyoooo kabisa yaani ovyoooo.. wagomvi.. waongo.. wanauana.. wanapigana risasi.. wanadanganya.. wanatamaa.. wanakula pesa za mgonjwa za walla hoi waliochanga.. wanalia lia.. n.k.
yaani kila ubomu ni wao

Magufuli hongera Baba kwa kuwatoa hawa watu pangoni.. tunajionea walivyo wa kiwango cha kututia aibu duniani kwa kuwa upinzani bomuuuuu
Hi huwa wanakulipa hela au ni utamu w......
 
Taarifa ya HECHE ukiisoma ni ya KIJINGA kwa WAJINGA eti "...vijana 200 wa CCM wakiwa wamefunika nyuso zao na Magari kuyapaka matope wamevamia mkutano wa kampeni na mapanga na kuumiza watu.." je, kuipata IDADI alikuwa anawahesabu 1,2,3...200 na kama walificha nyuso zao alijuaje ni VIJANA wa CCM na hakuna WAZEE?

Hivi hajui kwamba kwenye huo UMOJA wake FEKI walishaingilia UGOMVI wa chama kimojawapo na KUJIGAMBA kwa OPERESHENI ONDOA MSALITI BUGURUNI, hivi ALISHAJIULIZA lile neno la ONDOA likikuwa LINATAFSIRI nini,kwamba ilikuwa mnafuata huyo MSALITI mkiwa MMEBANA PUA 'msaliti wa Buguruni twakuomba ondoka'?

Akina Sie tutajuaje kwamba MNAKULANA WENYEWE kwa WENYEWE?Na tena kuna wenzenu wanajua kweli KUJIFICHA NYUSO na KUPAMBANA pia nyie kama CHADEMA mna huyo LWAKATARE ana clip yake akipanga UHUNI bt ukafanyika UUNGWANA .

JIPANGENI kivingine hizi PROPAGANDA sijui tuuite UHAMASISHAJI wenu wa KUSINGIZIA CCM kuwa inawafanyia VURUGU unazidi KUWAHARIBIA, yaani CCM ikae chini ikafundishe VIJANA wakavamie MIKUTANO..HECHE huu ni UPUNGUANI..BADILIKENI.
 
Huyu Heche atawapata akina Salary Slip tu na makarai wengine wasiofikirisha bongo zao.
 
Bora tubaki na chama kimoja... Au wengine tuingie Mstuni.
Sasa msituni mwishowe mtageuka mashoga maana MTAGEUZANA,pia MTAKOSA VYOO mtajisaidia wapi,MTAKUFA KWA KIPINDUPINDU,MARADHI YA UKURUTU yatawaandama maana HAMTAOGA badilikeni MTAOGA,MTAKUNYA na KUPATA WANAWAKE msiwe mashoga.Mbona huyo HECHE kaongea UONGO tu?????
 
Duuh.
 
Amejuaje ni vijana wa CCM na hata picha kashindwa kuwapiga!?

Kama ni wa Chadema wamepanga wafanye maovu kama kawaida na kuisingizia CCM.. anafikiri nani atakubali uongo huo

Inaelekea Chadema ilipanga kutenda haya haiwezekani fujo hizi zote zitokeee wakati huu zaidi ya kwamba wanasaka kura za huruma kwa kipupwu na uoga kuwa CCM imeimarika na watapigwa chini..

Mwisho wa siku huzi drama za kutunga na kutenda na kuandika uongo na wao kushindwa hata kuwakamata na kuwapeleka polisi hao wanaowasingizia.. au kuita polisi waende kwenye maeneo.. basi hata matamko ya polisi hamuyaweki kwa sababu hamna cha kutipoti.. watawakamata wenzenu..
Chadema watazidi kulia tu

Upinzani wa ovyo kabisa kuwahi kutokea nchini kwa wanayofanya awamu hii.. ovyoooo kabisa yaani ovyoooo.. wagomvi.. waongo.. wanauana.. wanapigana risasi.. wanadanganya.. wanatamaa.. wanakula pesa za mgonjwa za walla hoi waliochanga.. wanalia lia.. n.k.
yaani kila ubomu ni wao

Magufuli hongera Baba kwa kuwatoa hawa watu pangoni.. tunajionea walivyo wa kiwango cha kututia aibu duniani kwa kuwa upinzani bomuuuuu
Malizia kabisa kwamba wanakula na hela za maafa kama tetemeko, ajali n.k

9eca1d243e73aaf7bc98826b11b4092d.jpg
 
Mda c mrefu nmevamiwa na kundi la vjana kata ya mhandu Mwanza lkfanya patrol wanamapanga na marungu,wamensmamisha wakakagua gar wakaniChia
 
Amejuaje ni vijana wa CCM na hata picha kashindwa kuwapiga!?

Kama ni wa Chadema wamepanga wafanye maovu kama kawaida na kuisingizia CCM.. anafikiri nani atakubali uongo huo

Inaelekea Chadema ilipanga kutenda haya haiwezekani fujo hizi zote zitokeee wakati huu zaidi ya kwamba wanasaka kura za huruma kwa kipupwu na uoga kuwa CCM imeimarika na watapigwa chini..

Mwisho wa siku huzi drama za kutunga na kutenda na kuandika uongo na wao kushindwa hata kuwakamata na kuwapeleka polisi hao wanaowasingizia.. au kuita polisi waende kwenye maeneo.. basi hata matamko ya polisi hamuyaweki kwa sababu hamna cha kutipoti.. watawakamata wenzenu..
Chadema watazidi kulia tu

Upinzani wa ovyo kabisa kuwahi kutokea nchini kwa wanayofanya awamu hii.. ovyoooo kabisa yaani ovyoooo.. wagomvi.. waongo.. wanauana.. wanapigana risasi.. wanadanganya.. wanatamaa.. wanakula pesa za mgonjwa za walla hoi waliochanga.. wanalia lia.. n.k.
yaani kila ubomu ni wao

Magufuli hongera Baba kwa kuwatoa hawa watu pangoni.. tunajionea walivyo wa kiwango cha kututia aibu duniani kwa kuwa upinzani bomuuuuu
....
....acha upumbavu LIKILUMA ...utaongelea kwenye kokochupi
 
Siku zote ccm hizo ndio siasa zenu leo unataka kujifanya hujui?
 
Back
Top Bottom