Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,013
- 144,371
Anaandika John Heche kupitia mtandao wa twitter:
Niko kijiji cha Mangucha kata ya Nyanungu ambapo nina mkutano wa kawaida wa mbunge na wananchi. Lakini OCD wa wilaya ya kipolisi Nyamwaga amenipigia simu kutaka nisitishe mkutano eti kwasababu RPC ameishasema mimi na mh Ester haturuhusiwi kufanya mikutano kwenye majimbo yetu.!!!