John Heche na Esther(CHADEMA), wapigwa marufuku kufanya mikutano majimboni kwao

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
36,184
Points
2,000

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
36,184 2,000
Anaandika John Heche kupitia mtandao wa twitter:

Niko kijiji cha Mangucha kata ya Nyanungu ambapo nina mkutano wa kawaida wa mbunge na wananchi. Lakini OCD wa wilaya ya kipolisi Nyamwaga amenipigia simu kutaka nisitishe mkutano eti kwasababu RPC ameishasema mimi na mh Ester haturuhusiwi kufanya mikutano kwenye majimbo yetu.!!!

IKWETA KONZO M

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Messages
620
Points
1,000

IKWETA KONZO M

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2013
620 1,000
Anaandika John Heche kupitia mtandao wa twitter:

Niko kijiji cha Mangucha kata ya Nyanungu ambapo nina mkutano wa kawaida wa mbunge na wananchi. Lakini OCD wa wilaya ya kipolisi Nyamwaga amenipigia simu kutaka nisitishe mkutano eti kwasababu RPC ameishasema mimi na mh Ester haturuhusiwi kufanya mikutano kwenye majimbo yetu.!!!
Kigogo
 
Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
5,833
Points
2,000

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
5,833 2,000
Anaandika John Heche kupitia mtandao wa twitter:

Niko kijiji cha Mangucha kata ya Nyanungu ambapo nina mkutano wa kawaida wa mbunge na wananchi. Lakini OCD wa wilaya ya kipolisi Nyamwaga amenipigia simu kutaka nisitishe mkutano eti kwasababu RPC ameishasema mimi na mh Ester haturuhusiwi kufanya mikutano kwenye majimbo yetu.!!!
Tumesema mara kadhaa sijui hawa CCM hawaelewi... wafute vyama vyote vya siasa ili wabaki peke yao. Tamaa yao na kubana kwao upinzani hawana nia njema na watu wa nchi hii...
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Messages
6,290
Points
2,000

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2015
6,290 2,000
Anaandika John Heche kupitia mtandao wa twitter:

Niko kijiji cha Mangucha kata ya Nyanungu ambapo nina mkutano wa kawaida wa mbunge na wananchi. Lakini OCD wa wilaya ya kipolisi Nyamwaga amenipigia simu kutaka nisitishe mkutano eti kwasababu RPC ameishasema mimi na mh Ester haturuhusiwi kufanya mikutano kwenye majimbo yetu.!!!

View attachment 1153652
CCM imekwishaaaaaaaa wanaogopa hadi kivuli vha chadema.
 
Ulimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Messages
2,265
Points
2,000

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2009
2,265 2,000
KW
Anaandika John Heche kupitia mtandao wa twitter:

Niko kijiji cha Mangucha kata ya Nyanungu ambapo nina mkutano wa kawaida wa mbunge na wananchi. Lakini OCD wa wilaya ya kipolisi Nyamwaga amenipigia simu kutaka nisitishe mkutano eti kwasababu RPC ameishasema mimi na mh Ester haturuhusiwi kufanya mikutano kwenye majimbo yetu.!!!

View attachment 1153652

kweli kulewa madaraka ni kitu kibaya,

Naomba kuelimishwa kidogo, hivi RPC ndiye anayewapangia wabunge kufanya mikutano?

Amakweli kama ccm imeshikwa pabaya ni sasa. Hawana njia nyingine isipokuwa kuwatumia hao polisi
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2018
Messages
3,791
Points
2,000

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2018
3,791 2,000
Bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba
Juzi nilimsikia Mwenyekiti wa ile Tume, akisema hata siku moja hakuwahi kuona barua yoyote toka kwa CHADEMA na vyama vingine vya upinzani wakilalamika kuhusu kuzuiwa kufanya mikutano.

Iwe kweli au sio kweli, Mwenyekiti kajivua lawama na kaonekana kafanya kazi yake kwelikweli!

Maana yangu hapa ni kwamba, Mh Heche na Mh Matiko sasa inawalazimu waandike barua rasmi kuweka kumbukumbu rasmi, kuwa wamezuiwa kuwafikia wananchi wao majimboni kwao.
Haijalishi, kama hatua hiyo itasaidia chochote au la. Hiyo itakuwa ni kutimiza wajibu huo tu basi, huku wakitafuta njia nyingine za kuondoa kero hiyo; ikiwa na pamoja na kutumia njia mbadala za kuwafikia wananchi.

Hawawezi kusubiri fadhira toka kwa yeyote ili watimize kazi yao waliyopewa na wananchi waifanye.
 
Forum statistics

Threads 1,352,881
Members 518,197
Posts 33,068,307
Top