Uchaguzi 2020 John Heche: Mgombea wetu wa ubunge Serengeti, Catherine Ruge na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya, ndugu Garatwa, wamepigwa na polisi na kuchaniwa nguo

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Heche ameandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter:

Nimepokea taarifa kutoka Serengeti mgombea wetu mh. Catherine Ruge, Mwenyekiti wetu wa wilaya mh Francis Garatwa, na watu wengine waliokua ofisi ya Mkurugenzi kudai mabadiliko ya ratiba, wamevamiwa na polisi wamepigwa na kuchaniwa nguo. Hali ya mh Cathy sio nzuri.
 
Chadema kama kawaida yao, wanaanzisha fujo na wakidhibitiwa wanaanza ngonjera zao.

Washaona hawatopata kura hivyo wanalianzisha mdogo mdogo
 
Waliona njia muafaka ya kubadilishiwa ratiba ni kuitisha maandamano kwenda kwa mkurugenzi!
 
Imekufikia hivi punde? Heeh wakati tasrifa ina masaa zaidi ya 7 sasa
Hii ni taarifa iliyotufikia hivi punde , kwamba Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jimbo la Serengeti amepigwa sana na Polisi alipofika kwenye ofisi ya msimamizi wa uchaguzi jimboni humo

Taarifa zaidi zitawajia punde .......
 
Kwa sasa mvurugaji mkuu wa uchaguzi wa mwaka huu ni jeshi la polis na tume ya taifa ya uchaguzi, polis wanavuruga ngome za upinzani kwa kisingizio cha kusaka wahalifu huku wakiwabambikizia kesi zisizo na ukweli wowote, kwa mfano Kule tarime kwa heche wamekamata timu yake nzima ya kampeni na kuwapa kesi isiyo na dhamana.mbaya zaidi viongozi wa chadema wapo tu
 
Heche ameandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter:

Nimepokea taarifa kutoka Serengeti mgombea wetu mh. Catherine Ruge, Mwenyekiti wetu wa wilaya mh Francis Garatwa, na watu wengine waliokua ofisi ya Mkurugenzi kudai mabadiliko ya ratiba, wamevamiwa na polisi wamepigwa na kuchaniwa nguo. Hali ya mh Cathy sio nzuri.
OCD wa hapo serengeti anaingia kwenye list ya Polisiccm watakaofikishwa ICC mara baada ya uchaguzi mkuu
 
Wapigwe tu hawa wanajifanya vichaa kumbe kuna vichaa zaidi yao. Watolewe manundu tu.
Huo upumbavu wenu ndiyo umedumaza maendeleo Nchi hii miaka 59 haina maendeleo mmekalia kupiga watu mabomu marungu risasi badala ya maendeleo
 
Back
Top Bottom