John Heche kuwa makini yasikupate ya Chacha Wangwe, Tundu Lissu na Zitto

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Nianze kwanza kwa kusema RIP Chacha Wangwe,pia nimpelekee pole ndugu yangu Tundu Lissu huku nikimpongeza Zitto Kabwe kwa kukubali kuanza maisha mapya nje ya Chadema kwa mafanikio.

Ukweli ni kuwa asilimia kubwa ya wabunge na viongozi Chadema wanatamani Ndugu John Heche awe mwenyekiti wa Chadema ili kuridhisha chama kwa wananchi. Ninataka kumuasa ndugu Heche kuwa makini kwani wote waliotajwa uenyekiti Chadema wamepitia hali ngumu na wengine wameuawa.

Kuwa makini John.
 
Tutakupa wewe uenyekiti wala usijali
 
Naamini Heche anapita humu.

Tafadhari, subiri baraka za mwenyekiti, utapotea mapema sana. Kuna watu wako nyuma ya Mwenyekiti hawataki kumuona anaondoka madarakani ili waendelee kula, naomba uwe makini sana.

Tafadhari subiri baraka za mwenyekiti la sivyo uombe ulinzi maalumu ndipo upambane.
 
Ndugu zangu,

Nianze kwanza kwa kusema RIP Chacha Wangwe,pia nimpelekee pole ndugu yangu Tundu Lissu huku nikimpongeza Zitto Kabwe kwa kukubali kuanza maisha mapya nje ya Chadema kwa mafanikio.

Ukweli ni kuwa asilimia kubwa ya wabunge na viongozi Chadema wanatamani Ndugu John Heche awe mwenyekiti wa Chadema ili kuridhisha chama kwa wananchi. Ninataka kumuasa ndugu Heche kuwa makini kwani wote waliotajwa uenyekiti Chadema wamepitia hali ngumu na wengine wameuawa.

Kuwa makini John.
Hautafua dafu kwa namna ya uchonganishi wako. Unamtaka John ili iweje?
 
Ndugu zangu,

Nianze kwanza kwa kusema RIP Chacha Wangwe,pia nimpelekee pole ndugu yangu Tundu Lissu huku nikimpongeza Zitto Kabwe kwa kukubali kuanza maisha mapya nje ya Chadema kwa mafanikio.

Ukweli ni kuwa asilimia kubwa ya wabunge na viongozi Chadema wanatamani Ndugu John Heche awe mwenyekiti wa Chadema ili kuridhisha chama kwa wananchi. Ninataka kumuasa ndugu Heche kuwa makini kwani wote waliotajwa uenyekiti Chadema wamepitia hali ngumu na wengine wameuawa.

Kuwa makini John.
UkioNa mtu anakufuatilia sana anajua unamzidi kwa mengi
 
Ndugu zangu,

Nianze kwanza kwa kusema RIP Chacha Wangwe,pia nimpelekee pole ndugu yangu Tundu Lissu huku nikimpongeza Zitto Kabwe kwa kukubali kuanza maisha mapya nje ya Chadema kwa mafanikio.

Ukweli ni kuwa asilimia kubwa ya wabunge na viongozi Chadema wanatamani Ndugu John Heche awe mwenyekiti wa Chadema ili kuridhisha chama kwa wananchi. Ninataka kumuasa ndugu Heche kuwa makini kwani wote waliotajwa uenyekiti Chadema wamepitia hali ngumu na wengine wameuawa.

Kuwa makini John.
Mna kazi kubwa badala ya kuhubiri ilani mnamhubiri Heche
 
Ndugu zangu,

Nianze kwanza kwa kusema RIP Chacha Wangwe,pia nimpelekee pole ndugu yangu Tundu Lissu huku nikimpongeza Zitto Kabwe kwa kukubali kuanza maisha mapya nje ya Chadema kwa mafanikio.

Ukweli ni kuwa asilimia kubwa ya wabunge na viongozi Chadema wanatamani Ndugu John Heche awe mwenyekiti wa Chadema ili kuridhisha chama kwa wananchi. Ninataka kumuasa ndugu Heche kuwa makini kwani wote waliotajwa uenyekiti Chadema wamepitia hali ngumu na wengine wameuawa.

Kuwa makini John.
Serikali ambayo INA inteligensia Kali imeshindwa kuwakamata hao machadema kwa uhalifu
 
Ndugu zangu,

Nianze kwanza kwa kusema RIP Chacha Wangwe,pia nimpelekee pole ndugu yangu Tundu Lissu huku nikimpongeza Zitto Kabwe kwa kukubali kuanza maisha mapya nje ya Chadema kwa mafanikio.

Ukweli ni kuwa asilimia kubwa ya wabunge na viongozi Chadema wanatamani Ndugu John Heche awe mwenyekiti wa Chadema ili kuridhisha chama kwa wananchi. Ninataka kumuasa ndugu Heche kuwa makini kwani wote waliotajwa uenyekiti Chadema wamepitia hali ngumu na wengine wameuawa.

Kuwa makini John.

Chacha Wangwe alifanyiziwana ccm ili kuichafua cdm, na isitoshe kesi iliendeshwa mahakamani ungeenda kutoa ushahidi, Lissu ni amri ya jiwe hilo halina mjadala, Zitto aliamua kuanzisha chama chake na sasa yuko kwenye chama chake na anaihitaji zaidi cdm kwani mashabiki na wanachama wa cdm wengi wao wanajitambua.
 
Kamanda kumbe hujui
 
Jamaa una IQ pungufu sana kwahiyo maswahibu ya lissu ni kwa ajili Ya kuuwinda uenyekiti
 
Unadhani John Heche ni taahila kama wewe? Kwamba hajui yanayoendelea nchini?
 
Ndugu zangu,

Nianze kwanza kwa kusema RIP Chacha Wangwe,pia nimpelekee pole ndugu yangu Tundu Lissu huku nikimpongeza Zitto Kabwe kwa kukubali kuanza maisha mapya nje ya Chadema kwa mafanikio.

Ukweli ni kuwa asilimia kubwa ya wabunge na viongozi Chadema wanatamani Ndugu John Heche awe mwenyekiti wa Chadema ili kuridhisha chama kwa wananchi. Ninataka kumuasa ndugu Heche kuwa makini kwani wote waliotajwa uenyekiti Chadema wamepitia hali ngumu na wengine wameuawa.

Kuwa makini John.
Huu ni uchochezi
 
Back
Top Bottom