John Heche: Haji Duni na wenzake wanatumika na CCM kuua demokrasia. Mbowe hawezi kuomba msamaha kwa kosa la kubumba

Kama sote tunaamini kuwa Mh. Mbowe yuko ndani kidhalimu kwanini akitokea mtu anaependa awe huru tunapinga bila hoja za msingi? Kikubwa tunakimbilia udini kwahyo CCM wote wamekuwa waislam kipindi hiki kwakua mwenyekiti wao ni muislam?
 
Anayependa awe HURU kwa KUOMBA MSAMAHA?msamaha maana yake umekiri kosa,unajutia na hautarudia Tena...Sasa kosa la MBOWE NI LIPI?HATOOMBA MSAMAHA NA MBOWE SIYO GAIDI
 
Duni hakuongelea Msamaha yeye ameguswa na suala la Mbowe kuwa ndani na kutamani kutumia njia yeyote ili awe huru.
 
CHADEMA wakati wanawashambulia ACT walijua ACT hawajui kukera kwa maneno Hahahahaha
Wameyataka wenyewe wasubiri watasikia mengi ya kuudhi kutoka zambarau maana wamekuwa provoked
 
Back
Top Bottom