Uchaguzi 2020 John Heche aifuta CCM Tarime, hakuna namna Waitara anaweza kuwa Mbunge wa Tarime Vijijini, atavuna alichopanda

Hongereni sana Wanatarime kwa uelewa mkubwa hongera Watanzania.Mnapeleka somo kubwa sana kwa wakoloni makaburu weusi.
 
Muwe mnaangalia itv taarifa ya habari huwa wanaonesha kampeni za wagombea wote na idadi ya watu, kwa lisu wanatosha hata wakiwa wachache coz hana kivutio chochote za utalii zaidi ya kutegemea sera zake
 
Wabunge wa cdm watafute kazi nyingine safari hii ngoma imebuma. Watamkumbuka sana EL tutakapo anza kutafuta mbunge wa cdm bungeni kwa kutumia kurunzi.

Mikutano ya JPM yote iko live kwa kila mtu kujionea huyu anayepotosha hapa kachanganyikiwa, haamini macho yake kwa kinacho endelea. Hamna namna, hamna jinsi ya kukusaidia.
unaumwa ugonjwa mkubwa sana .
 
Waitara alibugi step kwenda kwa Heche. Bora angebaki hukohuko alikokuwa mwanzo. Tarime kura haziibiwi kindezi na DEDs wanalitambua hilo
 
Sasa siungalionesha na zile za Waitara tulinganishe. Tulizonazo ni za Lissu pekee.
Kuwa na subira hadi Waitara atakapoanza kampeni zake kwani inawezekana akamfunika kwa mbali.
 
Tuko hapa mkuu Hayo majimbo yote kea ccm labda LA mbowe tu atarudi tu jimboni
Moshi Mjini hata CCM wanaielewa Brother; Tangu Mfumo wa vyama vingi uanzishwe nchi hii, CCM hawajawahi kuchukua pale; na mara zote huwa wanapigwa kwa Nusu ya kura zote zilizopigwa; Hayo mengine siwezi zungumzia; Ila Moshi; Watasubiri sana.
 
Back
Top Bottom