John Heche adai kuwa, katika Wabunge 10 bora wa CHADEMA, Bilago alikuwemo: wasio bora ni akina nani?

Yes, watu huwa tunazidiana na hata ukiangalia unajua tu wazi kuwa fulani uwezo wake ukoje. Hata hivyo, hakuna anayeweza kusema fulani ni bora kuliko wengine tena ukidai fulani yuko kwenye top 10. Ilikuwa ni kuteleza kwa ulimi with no doubt.
 
Back
Top Bottom